Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,292
- 27,019
Jamaa wewe ni mzoefu kabisa kwenye hii Dunia vipi kama ni mafao yake?😹😹Mkuu Hicho kilichokupa 10M si uendelee nacho?
Au ni pesa ya Dili maana nchi hii bila Dili hutoboi😂😂
Aende na kuku awekeze m3-4 TU basi nyingine atulizane kwanza
Anaweza ni pm chap tukabadilisjana nae mawazo