Nifuge Kuku au Sato?

Nifuge Kuku au Sato?

Fuga vyote afu utafute mtaalam akufundishe kutengeneza mavi ya kuku kuwa chakula cha samaki then hapo utakuwa umetoboa coz hutanunua chakula cha samaki hata cku na moja. Thank me later
 
Fuga vyote afu utafute mtaalam akufundishe kutengeneza mavi ya kuku kuwa chakula cha samaki then hapo utakuwa umetoboa coz hutanunua chakula cha samaki hata cku na moja. Thank me later
Nasikia wanakula hadi mavi ya ngombe
 
Nasikia wanakula hadi mavi ya ngombe
kwan samaki wa ziwani au baharini nan anawapa chakula kama sio uchafu unapatikana binadamu kufa humo majin au uchafu unaotoka na mavi yao wenyewe ule uchafu mvua ikinyesha unaingia huko na wanaishi mr.
 
Habarini wadau.

Nimepata kamtaji hapa ka 10m, Nina eneo la ekari mbili Mkuranga.
Enyi wajuvi.
Naombeni msaada kwenu.
Ufugaji upi unalipa kati ya samaki sato au kuku wa kisasa?
Naomba maoni yako hapa.
Sato ni deal sana. ila kama umeisha set misingi yake vizuri ya kufanya hiyo biashara
 
Kama milioni kumi ndiyo pesa yote kabla ya miundo mbinu kama mabanda na vifaa vyengine pesa hii inaweza kufaa kwa kuku wa nyama tu.

Kuku wa mayai utahitaji kuanza kwa uchache na 500 ambao peke yao watakula karibia 10m mpaka wakianza kutaga.

Pia ufanye utafiti wa soko utakalouzia. Mkuranga soko si kubwa. Kuku wa nyama wakifikia umri wa kuuzwa lazima wauzike haraka. Ukichelewa kuwauza wanakula faida yako kwa kuendelea kuwahudumia.
 
INGIA INSTAGRAM SEARCH HII ACCOUNT BLUETILAPIAFARM huyu muungwana ni Afisa uvuvi kwa elimu yake ila anafundisha na kukusimamia katika ufugaji wa samaki(SATO,SANGARA).

PATA MUDA INGIA HUKO IFATILIE HIYO PAGE YAKE. UKIRIDHIKA MTAFUTE ATAJUSHAURI KILA KITU.

MABWAWA WANACHIMBA WENYEWE NA HAWAJENGEI KWA SEMENTI WAO WANTUMIA NAILONI.

KWA NILIVYOFATILIA MIMI JAMAA YUKO VIZURI .NA MUDA WA KUWAVUNA HAO SAMAKI ANAKUPA OPTION YA YEYE KUKUUZIA WEWE HUNA HAJA YA KUTAFUTA SOKO!!

mkuu AYnay pitia huko utapata! madini
 
KWA NILIVYOFATILIA MIMI JAMAA YUKO VIZURI .NA MUDA WA KUWAVUNA HAO SAMAKI ANAKUPA OPTION YA YEYE KUKUUZIA WEWE HUNA HAJA YA KUTAFUTA SOKO!!
Hapa ndio watu wanapigwa, too sweety to be true.

Matapeli fulani walipita kule Rukwa kiushawishi wazee wastaaf walime Pilipili kwa wingi eti zinahitajika huko Nje, Wakawauzia mbegu kwa Ahadi kwamba wasiwazw kuhusu solo, wao ndio watanunua.
Wazee wakajiunga vikindu watanunua mbegu kwa malaki na malaki, wazee wakaweka pension zao kwenye kulima mashamba na kuwatunza, Pilipili ikakubali ilipofika muda wa kuvunwa jamaa simu zao haipatikani🤣🤣
 
Hapa ndio watu wanapigwa, too sweety to be true.

Matapeli fulani walipita kule Rukwa kiushawishi wazee wastaaf walime Pilipili kwa wingi eti zinahitajika huko Nje, Wakawauzia mbegu kwa Ahadi kwamba wasiwazw kuhusu solo, wao ndio watanunua.
Wazee wakajiunga vikindu watanunua mbegu kwa malaki na malaki, wazee wakaweka pension zao kwenye kulima mashamba na kuwatunza, Pilipili ikakubali ilipofika muda wa kuvunwa jamaa simu zao haipatikani[emoji1787][emoji1787]

Ha ha sema matapeli wana akili kubwa sana!
 
Back
Top Bottom