Heparin
JF-Expert Member
- Sep 24, 2021
- 440
- 3,211
Jamhuri yawapiga kesi ya Uhaini watanzania 97l8 kufuatilia Maandamano ya Oktoba 29, 2025.
Katika Orodha hii, yupo Mfanyabiashara maafuru Jennifer Jovin, Maarufu kama Niffer.
Kesi hizi zimepangwa kusikilizwa kwa hatua za awali kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam.
====
Kutokana Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam leo, Ijumaa Novemba 07.2025, Mfanyabiahara Jenifer Jovin (Niffer) na wenzake wamesomewa mashtaka matatu (3) ya uhaini
Kosa la kwanza linalowahusu washtakiwa wote ambapo ni kwamba kwa pamoja wamekula njama ya kutenda kosa au kupanga uhalifu ambao ni uhaini
Kosa la pili ambalo ni la uhaini linawahusu washtakiwa 21 isipokuwa mshtakiwa mmoja pekee ambaye ni Niffer, ambapo washtakiwa walianzisha nia ya kuzuia uchaguzi Mkuu 2025, na kutishia mamlaka na wakatekeleza nia hiyo kwa kufanya vurugu zilisababisha uharibifu wa mali za umma,
Na kosa la tatu la uhaini pia linamuhusu mshtakiwa namba moja pekee ambaye ni Niffer, ambapo alihamasisha watu kuvuruga uchaguzi Mkuu 2025 na kuhamasisha umma kununua barakoa za kuzuia mabomu ya machozi kutoka dukani kwake.
Pia soma GE2025 - Jamhuri yaongeza wengine 47 kwenye kesi ya Uhaini baada ya Maandamano Oktoba 29, idadi yafikia watu 145