Mbunge wa viti maalum Mkoa wa Njombe kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Sigrada Mligo akitoa hoja Bungeni, wakati wa uwasilishwaji wa bajeti ya Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, leo Juni 1, 2026.
Soma Pia: Sigrada Mligo: Siungi hoja ya kufanya...
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Godbless Lema, amesema wakati maandamano yakiendelea Oktoba 29, Boni Yai pamoja na Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho, Amani Golugwa, walimpigia simu na kumueleza kuwa watu kutoka Ikulu walikuwa wanataka kuzungumza na viongozi wa...
Chanzo kikuu cha matukio ya Oktoba 29 kinatokana na mkusanyiko wa malalamiko ya muda mrefu ya kijamii, kiuchumi na kisiasa ambayo yalikuwa yakijadiliwa waziwazi katika mitandao ya kijamii kwa muda mrefu kabla ya siku hiyo. Maandamano hayakuwa ya ghafla, bali yalipangwa na kujadiliwa kwa uwazi...
Jaji Mkuu Mstaafu Mohamed Othman Chande
Tume ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, (Maarufu tume ya Jaji Chande) inatarajiwa kuwasilisha ripoti yake rasmi leo Alhamisi, Aprili 23, 2026 kwa Rais Samia Suluhu.
Siku ya Uchaguzi Mkuu, Oktoba...
Akizungumza jijini Dar es Salaam leo, Aprili 21, 2026, wakati akifungua Kongamano la Kitaifa la Mamalishe na Babalishe, Rais Samia wafanyabiashara wadogo wa chakula, maarufu kama Mamalishe na Babalishe, kutambua na kulinda amani ya nchi kama nguzo kuu ya kukuza uchumi na ustawi wa shughuli zao...
Vurugu zilizotokea wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Tanzania uliofanyika Oktoba 29, 2025 zimeacha alama nzito ikiwa pamoja na kuchafua diplomasia na uhusiano wa kimataifa.
Vurugu hizo zilizotokana na maandaano katika mikoa ya Dar es Salaam, Arusha, Mwanza, Mbeya, Dodoma, Kilimanjaro na Njombe...
Leo nimepata wasaa wa kusikiliza kwa makini maojiano na vyombo vya habari aliyoyafanya Dr Kitima na kujiridhisha pasi na shaka Kanisa Takatifu la Mitume Kanisa Katoliki na TEC wana idadi kamili ya waliouliwa kwa mtutu mnamo tarehe 29 October 2025
Katoliki mumenipata hawa masheikh ubwabwa na...
Katika kipindi cha One Against One kati ya mtangazaji nguli Chief Odemba na mwanahabari mwandamizi Habibu Mchange, Mchange amesema kuwa mwenyekiti wa Chadema na makamu wake John Heche ndio walioratibu maandamano ya Oktoba 29 siku ya uchaguzi mkuu.
Nafikiri ni wakati sahihi wa kuunda mfuko maalumu wa kuchangia waathirika wa maandamano ya Oktoba 29 na. wale wote waliiothirika na matukio yote ya kikatili yaliyofuata baada ya hapo. Lengo likiwa ni kuwashika mikono ndugu, jamaa na wanafamilia wa walipoteza wapendwa wao.
Ukweli ni kwamba...
Hivi Mnajua kama tusingeandamana Oktoba 29, hali ingekua mbaya kupindukia??.
Target yao ílikua ni Wakishajiteua hiyo Oktoba 29 , wangeanzisha huo upuuzi wa Maridhiano, alafu kwenye huo Upuuzi wao, Wananchi Mtake au Mistake wao wangesonga mbele Kwa Jeuri na Dharau kubwa.
Sasa MAANDAMANO YETU...
Huyu dada kapiga za kichwa sana kwa Samia!
Tume alioiyunda Samia haina itagreti yoyote ya kufanya uchunguzi wowote kwa sababu mtu kama Said Mwema alikuwa IGP chini ya Kikwete watu walipigwa mabomu kama Docta Ulimboka, Davis Mwangosi na Mpaka leo hakuna anajua nani alifanya nani hakufanya...
Maandamano ya Oktoba 29 vijana walikuwa na hasira sana na hii imetokana na serikali imekuwa ikipoka mchakato wa wananchi. Watu wamelalamika na mifumo ya uchaguzi tangu 1995 ambapo Mrema aliliamika kuibiwa kura zake, 2000 CUF pia walilamika, 2015 ndivyo hivyo 2019 katika uchaguzi wa serikali za...
Naona ndugu zangu wamechoka kuchafuliwa! Ila kama mnakataa kwa hiari yenu sawa lakini kama mnatumika kisiasa basi mtazidi kuharibu
=============
Umoja wa Maafisa Usafirishaji Mkoa wa Pwani, umetoa tamko la kupinga na kulaani vikali tuhuma za kuhusishwa na vitendo vya vurugu, vilivyotokea Oktoba...
Nimemsikiliza huyu Sheikh Jongo amesema wale walifanya ghasia wale wote wameshaushiwa kufanya hivyo na kuvunja miundombinu ya mwendokasi, wamepiga moto vituo vya mafuta visivyopungua 31 vinavyomilikiwa na mtu mmoja ambapo ni pigo
Vijana wajasiriamali kutoka Mkoa wa Dar Es Salaam wametoa wito kwa Vijana wengine nchini kuienzi na kuilinda amani ya Tanzania na kujiepusha na ushawishi na makundi yenye kuwahamasisha kufanya vurugu na kuharibu amani, umoja na mshikamano wa Watanzania.
Wito huo umetolewa majuma kadhaa baada ya...
"Serikali kushindwa kutimiza baadhi ya ahadi wanazoziahidi kwa wananchi yatajwa kuwa huenda ikawa ni moja ya sababu iliyopelekea wananchi kuandamana siku ya Oktoba 29" na Tatizo serikali inachokizungumza na inachokitenda mbona vinakinzana amesema Issa Kingi
video zilizothibitishwa na #NationForensicUnit ya nation zimethibitisha maeneo kamili ambako vikosi vya usalama vya Tanzania, wakiwemo baadhi waliovaa nguo za kiraia, walitumia nguvu kupita kiasi na kuwaua waandamanaji kwa makusudi katika Arusha na Dar es Salaam. (Picha zenye maudhui ya kushtua...
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Juma Mwenda ametoa pole kwa Walipakodi, Watumishi wa TRA na Watanzania wote kwa ujumla waliopata athari mbalimbali zilizotokana na changamoto wakati wa uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 29, 2025.
Akiwa ziarani katika mikoa ya Kikodi...
Maandamano haya yameweka historia mbaya sana kwa watanzania! Yamechukua roho za watu kwa watu kuuwawa, yameharibu ajira za watu, na biashara.
============
Zaidi ya Magari 34 ya usafirishaji katika Mkoa wa Mwanza yametajwa kuharibiwa baada ya kuzuka kwa vurugu za waandamani siku ya Oktoba 29 hadi...
1: Tukianza na Incitement au Solicitation aliyofanya Mange Kimambi pamoja na wahalifu wengine ni kuwa, alishawishi Digital Natives au Generation Z aka Gen Z kuvuruga nchi ya Tanzania kwa kuvunja Sheria za nchi ikiwemo kuharibu miundombinu ya Wananchi na Serikali yake
(Mali za Wananchi pamoja na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.