Busu la Kenge
JF-Expert Member
- Jun 13, 2025
- 2,308
- 4,207
Ndio mkuuHii nayo ni habari kwa ma GT wa JF
Ni habari njema. Mjasiriamali na social media maarafu wa kuuza vipodozi Niffer kaanza kuwa mweupe tena.
Watu walishaanza kukata tamaa alivyoanza kuwa mweusi alipokuwa mahabusu lakini faraja imewarudia kwa kuwa mweupe tena.
View attachment 3522381
adriz de mbusii
Hakika ni habari njema
Safi sana
Mungu mkubwa ashukuriwe kwa hili.
Ila bhangi🔥Hii ni habari njema. Imenipa faraja sitakufa mweusi.
hakuna ki-tilapia pale (siyo kama yule wa chugga) hata upigejeSijui atakuwa mtamu au imepoa.. anyway acha tusake hela
😅😅 Kasheshe kuipata, unless niwe Mafwele wa mkopohakuna ki-tilapia pale (siyo kama yule wa chugga) hata upigeje
hakuna ki-tilapia pale (siyo kama yule wa chugga) hata upigeje
Duh kitambo sanaeeeh si useme ameanza kung'aa tena na ya picha za siku hizi kawaida sasa. mwanga wa zile zilimbadili sana urangi.
ila hakubadilika uzuri wake kipindi kile hilo ndilo limetiki