Usipofuatwa ndiyo utajipeleka mwenyewe kuchinjwaYani hizo ndo zangu,![]()
aisee napenda kweli kususa na kuhama chumba, ila mwenzio huwa nabembelezwa atakuja hata mara 10 mpaka ahakikishe usiku hauishi nimerudi chumbani kwetu, sometimes najiuliza siku asiponifata sijui itakuaje
![]()



Huyo ni mumeo mwombe msamaha atakwelewa tu.Nina kama wiki hivi tulitofautiana kidogo na mume wangu. Tuligombana sana ila sio ngumi inshort alinikwaza.
Sasa kwa hasira nikahamia kulala chumba cha wageni nikidhani baada ya muda atakuja kunibembeleza na kuniomba msamaha yaishe nirudi chumbani.
Du!!! Sasa wiki imekatika jamaa hata muda hana natamani kurudi chumban lakini naanzaje maana niliamisha baadhi ya nguo na pochi zangu na vipodozi vyangu aisee jamaa hana time yaani tena akiingia chumbani anafunga na funguo.
Mimi hasira zimeisha naona aibu kurudi.
Nipeni mbinu jamani nifanyeje aanze yeye kunibembeleza?
Mh..Sasa unaonaje aibu banah?,wewe Rudi tutunaongea vizuri ...napika tunakula wote ikifika kulala kila mmoja na chumba chake
tafuta wageni waje walale kwenu, atakuhamishia chumbani mwenyeweNina kama wiki hivi tulitofautiana kidogo na mume wangu. Tuligombana sana ila sio ngumi inshort alinikwaza.
Sasa kwa hasira nikahamia kulala chumba cha wageni nikidhani baada ya muda atakuja kunibembeleza na kuniomba msamaha yaishe nirudi chumbani.
Du!!! Sasa wiki imekatika jamaa hata muda hana natamani kurudi chumban lakini naanzaje maana niliamisha baadhi ya nguo na pochi zangu na vipodozi vyangu aisee jamaa hana time yaani tena akiingia chumbani anafunga na funguo.
Mimi hasira zimeisha naona aibu kurudi.
Nipeni mbinu jamani nifanyeje aanze yeye kunibembeleza?
Kama mme ndo alikosea anaomba msamaha juu ya Nini?,
Ha haaa hapana mkuu, siku kama hizo huwa zinakuwepo lkn sijawahi hama room, tunabanana humo humo tumenuniana hadi mmoja ajisalimishe. Kama amekosea yeye sijisalimishi yaani akikaa kimya na mie kama simjui vileHahahahahaahahhahahhahh
Mtie ujinga tu mwenzio wewe unalala nao daily na ukiamka upo nao karibu
Nimesema nikisema leo nabeba mabegi naenda maana yake ni kuwa nimemaliza, nimejaribu kutatua tatizo limeshindikana niende kwao kufanya nini tena?Kosa lenu huwa mnawahi kwenda kwenu badala ya kwao mwanaume



Ni mume wako. Niwako huyo
Do everything to make things move
No Longer At Easy... Chinua Achebe
Mwenyekiti wa kiburi JF hi!![]()



eti mwenyekiti wa kiburi daaah rafiki kweli umenichoka kiasi hikiIla watoto unamuachia?Nimesema nikisema leo nabeba mabegi naenda maana yake ni kuwa nimemaliza, nimejaribu kutatua tatizo limeshindikana niende kwao kufanya nini tena?
Sent using Jamii Forums mobile app
Teh usikute analala na kabinti huko chumbani anaanzaje kukumisiHv jaman itakua kweli haumii, hajanimis? au turn kauzu??? inamaana ikufika usiku hanimis kabisa???
Ukiondoka nao kitakuwa chanzo cha kuwasiliana, we beba nguo zako watoto muachie alee! Hata mm wife akisepa watoto hawezi kwenda nao lazima awaache
Ukute ana kipoozeo huko ameshashiba mwili na rohoHv jaman itakua kweli haumii, hajanimis? au turn kauzu??? inamaana ikufika usiku hanimis kabisa???



. Kosa kubwa sana ulilolifanya ni kuhama chumban, jamaa ametafsiri km dharau na ulikuwa huenjoy kuwa naye chumba kimoja. Umechukua uamuzi wa kitoto. Subiri giza liingie then rudi,.muda wa kulala anza kuchezea mtalimbo muda unapigwa fimbo unamueleza ulihama kwasababu ya hasira tu, then yanaisha. Next time usirudie tena, pumbafffDu!! hapa hata usingizi haupiti yeye nasikia anakula mziki tu hana wasiwasi