Melanny
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 1,247
- 2,259
AsanteeAvatar nzuri
AsanteeAvatar nzuri
HahahahhBro, una miaka mingapi kwenye ndoa???
Hivi vimisemo ndio mnapewa na wamagharibi sio??
Try me!!!!!!!
HahahHahahahh
Jamaa anawachotaga watu humu na Misemo yake ya Google
Kama nyumba mnaishi wenyewe mbake jamaa hapo sebuleni, au mtegeshe wakati anaenda kuonga akiingia bafuni fanya na ww unataka kuoga kuna sehemu unawahi so kama imekuwa lazima fulani muoge wote maana hautaweza kusubiri amalize, hiyo ni foul ndani ya box lazima itawekwa penati jamaa atakula mzigo ndo kihivyo unarudi mdogo mdogo halafu vitu unarudisha moja moja
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimecheka sana,yani sijui ulitegemea mumeo ndio aje akuombe msamaha huko chumbani ulipo hamia??
Binafsi yangu mie siwezi kumuomba msamaha mwanamke hata Siku never ever!





Hv jaman itakua kweli haumii, hajanimis? au turn kauzu??? inamaana ikufika usiku hanimis kabisa???
umekaa Naye muda wote haujui udhaifu wake, tafuta rafiki yake akampe somo hapo fasta kuliko ndugu utaongeza matatizo. MPE kitu anachopenda utaona anabadilika, alafu rudiNina kama wiki hivi tulitofautiana kidogo na mume wangu. Tuligombana sana ila sio ngumi inshort alinikwaza.
Sasa kwa hasira nikahamia kulala chumba cha wageni nikidhani baada ya muda atakuja kunibembeleza na kuniomba msamaha yaishe nirudi chumbani.
Du!!! Sasa wiki imekatika jamaa hata muda hana natamani kurudi chumban lakini naanzaje maana niliamisha baadhi ya nguo na pochi zangu na vipodozi vyangu aisee jamaa hana time yaani tena akiingia chumbani anafunga na funguo.
Mimi hasira zimeisha naona aibu kurudi.
Nipeni mbinu jamani nifanyeje aanze yeye kunibembeleza?
ina maana mpaka sasa hujarudi post zote 190 hazikufua dafuNa kajua kunikomesha walah!!!
Shemeji naomba nikusaidieSasa mambo yetu mpaka uje uyaseme huku?? Umewaeleza na makosa yako lkn
Sent using Jamii Forums mobile app