Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,106
- 28,061
Pole sana,[emoji23][emoji23][emoji23] huo mchezo nilishafanya siku moja nimelala siku kwanza, ya pili akajua hasira zimeisha nikaunganisha, ya 3 nikakuta kitanda na godoro vipo stoo [emoji23][emoji23]Du!! hapa hata usingizi haupiti yeye nasikia anakula mziki tu hana wasiwasi
Sent using Jamii Forums mobile app