Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,976
- 22,409
Sio kwenye hii mada tu, ni misemo ambayo not healthy kwenye mila na desturi zetu za KiafrikaMzee Huo msemo wako kwenye hii Mada ni useless
Sio kwenye hii mada tu, ni misemo ambayo not healthy kwenye mila na desturi zetu za KiafrikaMzee Huo msemo wako kwenye hii Mada ni useless
Lakini halafu ndio akome ujuba
cc: MishilTatizo ni hizi zama za haki sawa, mwanamke akipeleka hili neno haki sawa kwenye ndoa hapo hakuna ndoa vinginevyo mwanaume asiliti uanaume wake ajishushe tu awe ndo ameolewa, Zamani hizo hakuna hili neno so mwanamke akishaolewa anajua neno moja ndoa ni uvumilivu japo na wanaume wengine walizidi kipimo pia
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahaahahhahahhahh
Hao wanandoa inaonekana wanagombana Mara kwa Mara, na hawaaminiani, hafu nahisi mwanamke anawivu unamfanya akurupuke kutoa maamuziKama kakosea yeye na haoni sababu ya kujirudi kwa mkewe akafikiria labda alimuumiza wacha waongee yaishe aisee uyo mwanaume yupo tu kwene ndoa basi kwa vile alioa hana namna anashindwa kutoka, vumilia ilo ni fungu lako.....lakini ungeingia tu ukatandika kitanda fresh ukapanda ukalala kimyaaa usiangaike kutaka ye ajishushe
Ni hali flani hivi ya kujifanya mjeuri na kiburi na mdomo mrefu, hii tabia mara nyingi anayo wale wanawake wanaoongea sana kama chiriku
Wewe ungerudije????Rudi kimya kimya kama ulivyoondoka, si ajabu hata yeye anatamani urudi ila anaona akikubembeleza atakuwa anajishusha
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah,kumbeNi hali flani hivi ya kujifanya mjeuri na kiburi na mdomo mrefu, hii tabia mara nyingi anayo wale wanawake wanaoongea sana kama chiriku
Unataka kusema mwanaume hawezi kabisa kumpotezea mwanamke aliyeko uchi?Kama nyumba mnaishi wenyewe mbake jamaa hapo sebuleni, au mtegeshe wakati anaenda kuonga akiingia bafuni fanya na ww unataka kuoga kuna sehemu unawahi so kama imekuwa lazima fulani muoge wote maana hautaweza kusubiri amalize, hiyo ni foul ndani ya box lazima itawekwa penati jamaa atakula mzigo ndo kihivyo unarudi mdogo mdogo halafu vitu unarudisha moja moja
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa amwkuelewa ila sasa hivi msaidie kutatua hili la sasaUsipambane tena na mme wako kwa kutumia njia hii, ukiendelea utaachika siku sio nyingi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haswaaa!
Kama mnaongea vizuri ugomvi jua umeisha rudi tuu ndani kwako.tunaongea vizuri ...napika tunakula wote ikifika kulala kila mmoja na chumba chake
Akikujibu ni tag maana wengine kama hujafika standard flani hata uwe uchi vipi tunakuangalia tuUnataka kusema mwanaume hawezi kabisa kumpotezea mwanamke aliyeko uchi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nisingehama in the first place, siku zote huwa naamini katika mazungumzo na kama imefikia hatua ya kuhama nitahama niende kwetu kabisa na wazo la kurudi halitokuwepoWewe ungerudije????
See????Nisingehama in the first place, siku zote huwa naamini katika mazungumzo na kama imefikia hatua ya kuhama nitahama niende kwetu kabisa na wazo la kurudi halitokuwepo
Sent using Jamii Forums mobile app