Nifanyeje nirudi chumbani kwangu?

Nifanyeje nirudi chumbani kwangu?

Hujawahi kuishi na mwanamke eeeh??

Mke uliyemzoea hata akilala uchi wala hastui,

Huyo sio demu wa siku mojamoja

Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana isifikie kiwango cha demu ila kushtua unashtua na kwa vile ni halali mzigo utapiga, hasa kwa mazingira kama ya mwenye uzi inawezekana jamaa naye hataki kushuka chini lakini yakitengenezwa mazingira kila kitu kinakaa sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkewangu alimikemea san kisa tu nimetoka kuangalia mpira jioni na nilimuaga akaninunia kabisa , baasi bwana mtu hasemi na mimi nikaondoka nikaenda bar kumeza bia muda wa saa tisa naingia hom nakuta mtu yupo macho anatweta tu kwa hasira na wala hanisemeshi nilokaa kimya siku 3 tu akatishia kunywa sumu yeye na watoto baasi nika mwambia dada kalete sumu ya panya ya elfu kumi akaleta nikakoroga na maji nusu ndoo nika mwambia dada kamwambie mzigo upo tayati annywe na awaweshe watoto,wakati huo nipo nje ma simu nazuga naongea na mchepuko asee hakunya wal nini na alikuja kupiga magoti nakuomba msamha ,mpaka wa leo u sister du umemuisha

Sent using Jamii Forums mobile app

Karma upite na huku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nunua dildo ushinde nalo huko chumba cha wageni mpaka utakapo zeeka
 
Nyie watu mmezidi umbea yan mada hiii imenikuta kwenye magruop ya whatsap uko?
 
Hahaaa wewe ukijaribu watu wanafanya kwel
Nina kama wiki hivi tulitofautiana kidogo na mume wangu. Tuligombana sana ila sio ngumi inshort alinikwaza.

Sasa kwa hasira nikahamia kulala chumba cha wageni nikidhani baada ya muda atakuja kunibembeleza na kuniomba msamaha yaishe nirudi chumbani.

Du!!! Sasa wiki imekatika jamaa hata muda hana natamani kurudi chumban lakini naanzaje maana niliamisha baadhi ya nguo na pochi zangu na vipodozi vyangu aisee jamaa hana time yaani tena akiingia chumbani anafunga na funguo.

Mimi hasira zimeisha naona aibu kurudi.

Nipeni mbinu jamani nifanyeje aanze yeye kunibembeleza?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkewangu alimikemea san kisa tu nimetoka kuangalia mpira jioni na nilimuaga akaninunia kabisa , baasi bwana mtu hasemi na mimi nikaondoka nikaenda bar kumeza bia muda wa saa tisa naingia hom nakuta mtu yupo macho anatweta tu kwa hasira na wala hanisemeshi nilokaa kimya siku 3 tu akatishia kunywa sumu yeye na watoto baasi nika mwambia dada kalete sumu ya panya ya elfu kumi akaleta nikakoroga na maji nusu ndoo nika mwambia dada kamwambie mzigo upo tayati annywe na awaweshe watoto,wakati huo nipo nje ma simu nazuga naongea na mchepuko asee hakunya wal nini na alikuja kupiga magoti nakuomba msamha ,mpaka wa leo u sister du umemuisha

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahhahahha
 
Kama mnaongea na kucheka vizuri mezani basi shida hakuna hapo, kilichotokea ni kwamba baada ya kuzinguana na wewe ukahamisha vitu vyako kwenye chumba cha wageni jamaa akahisi umekasirika zaidi so akaamua mpeane SPACE kwa muda ili akili zenu zijitafakari upya then ndo mrudi tena, sasa ishu ni kwamba nani wa kurudisha majeshi kwa mwenzie? Ni mama, ni wewe. Mwanamke ndiye mleta amani kwenye nyumba hivyo ukisubiri yeye ndo akusemeshe ni sawa na kusubiri ujenzi wa fly over pale Jangwani.
 
Mkewangu alimikemea san kisa tu nimetoka kuangalia mpira jioni na nilimuaga akaninunia kabisa , baasi bwana mtu hasemi na mimi nikaondoka nikaenda bar kumeza bia muda wa saa tisa naingia hom nakuta mtu yupo macho anatweta tu kwa hasira na wala hanisemeshi nilokaa kimya siku 3 tu akatishia kunywa sumu yeye na watoto baasi nika mwambia dada kalete sumu ya panya ya elfu kumi akaleta nikakoroga na maji nusu ndoo nika mwambia dada kamwambie mzigo upo tayati annywe na awaweshe watoto,wakati huo nipo nje ma simu nazuga naongea na mchepuko asee hakunya wal nini na alikuja kupiga magoti nakuomba msamha ,mpaka wa leo u sister du umemuisha

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanamke haombi msamaha.
We jifanye unaumwa hoi. Mgongee chumbani kwake mwambie unaumwa akupeleke hospitali. Fanya drama hapo urudi chumbani kwenu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi nilijifanya nimekabwa na jinamizi nilipiga kelele,, akaja mbio, akasema kwa ukali nenda chumbani, nikajifanya kugoma, akarudia acha upumbavu akanivuta kwa nguvu ( kumbe nilikua nataka kurudi) hahaa, nikaenda fasta. Ila mi nilikua sebuleni kwenye sofa ndo nalala,, WAPENDA KUSUSA
Hahh haa,jamaa yako anatatua matatizo yako kama mimi,yaani mke wangu akisusa siku nimemis mgegedo nitakoroma mara moja tu kwa sauti ya kiume "nenda kalale chumbani" akendelea kugoma narudia "unajua acha ujinga nimesema nenda chumbani hunielewi"?
Kwa sababu anajua nikisema acha ujinga nini kitafuata basi atanyanyuka chap na kupanda kitandani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina kama wiki hivi tulitofautiana kidogo na mume wangu. Tuligombana sana ila sio ngumi inshort alinikwaza.

Sasa kwa hasira nikahamia kulala chumba cha wageni nikidhani baada ya muda atakuja kunibembeleza na kuniomba msamaha yaishe nirudi chumbani.

Du!!! Sasa wiki imekatika jamaa hata muda hana natamani kurudi chumban lakini naanzaje maana niliamisha baadhi ya nguo na pochi zangu na vipodozi vyangu aisee jamaa hana time yaani tena akiingia chumbani anafunga na funguo.

Mimi hasira zimeisha naona aibu kurudi.

Nipeni mbinu jamani nifanyeje aanze yeye kunibembeleza?
Mpigie simu mgeni yeyote ambaye ndo chumba chake iko, akija uhamie kwako
 
Na kama mzinguaji alikuwa mwanaume afu mwanamke arudi kuomba msamaha aiseee maisha yake yatakuwa ya ivoivo....kakosewa yeye anaomba msamaha
Basi abaki huko huko chumba alichohamia.

Yeye ndie anaetamani kurudi chumba cha awali, hapa anapewa mbinu za kurudi.

Angetaka pia kusepa mazima, wananzengo wangempa namna

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom