Paula Paul
JF-Expert Member
- Oct 23, 2019
- 4,649
- 13,623
Kuongea jee mnaongea kama kawaida? Au pia mmenuniana?
Chakula unampikia na anakula?
Chakula unampikia na anakula?
Nenda ugonge mlangoni kwake. Upo tu JF unapoteza mdaDu!! hapa hata usingizi haupiti yeye nasikia anakula mziki tu hana wasiwasi

Subiri wageni wakija utaenda![]()
Anahisi Dada apo kagombana na Jiran labda.Mzee Huo msemo wako kwenye hii Mada ni useless
Jipeleke kwa mmeo ukaombe msamaa. Ni kosa kubwa mwanandoa kuama kitanda unapotofautiana na mwenzako. Sasa wewe umeama chumba kabisa, kama ni hasira bora ungeama kabisa nyumba ukarudi kwenu.Du!! hapa hata usingizi haupiti yeye nasikia anakula mziki tu hana wasiwasi
Chojoa viwalo vyote halafu kamgongee mlango akifungua tu mrukie na mabusu... problem solvedNinakama wiki hivi tulitofautiana kidogo na mr ...tuligombana Sana ila sio ngumi inshort alinikwaza
Sasa kwa hasira nikahamia kulala chumba Cha wagen
Nilidhan baada ya muda atakuja kunibembeleza na kuniomba msamaha yaishe nirudi chumban
Du!!! Sasa wiki imekatika jamaa hata muda hana nataman kurudi chumban lakini naanzaje??
maana niliamisha baadhi ya nguo na pochi zangu na vipodoz vyangu aisee jamaa hana time yan tena akiingia chumban anafunga na funguo
Mi hasira zimeisha naona aibu kurudi nipendi mbinu jaman nifanyeje aaanze yeye kunibembeleza jmn
Kwanza kabisa inabidi utambue kuwa, tangu siku ulipohama chumba mpaka leo "Unalala nje ya ndoa..!"Ninakama wiki hivi tulitofautiana kidogo na mr ...tuligombana Sana ila sio ngumi inshort alinikwaza
Sasa kwa hasira nikahamia kulala chumba Cha wagen
Nilidhan baada ya muda atakuja kunibembeleza na kuniomba msamaha yaishe nirudi chumban
Du!!! Sasa wiki imekatika jamaa hata muda hana nataman kurudi chumban lakini naanzaje??
maana niliamisha baadhi ya nguo na pochi zangu na vipodoz vyangu aisee jamaa hana time yan tena akiingia chumban anafunga na funguo
Mi hasira zimeisha naona aibu kurudi nipendi mbinu jaman nifanyeje aaanze yeye kunibembeleza jmn
Basi ahame nyumba kabisa!Na kama mzinguaji alikuwa mwanaume afu mwanamke arudi kuomba msamaha aiseee maisha yake yatakuwa ya ivoivo....kakosewa yeye anaomba msamaha
Bro, una miaka mingapi kwenye ndoa???Don't be afraid for losing people, be afraid of losing yourself trying to please everyone
Lady, it doesn't matter!Bt yeye ndie mwenye kosa ujue
Hata kama mzenguaji ni mwanamme inategemea na namna mwanamke alivyokabiliana na hilo kosa la mshkaji.Na kama mzinguaji alikuwa mwanaume afu mwanamke arudi kuomba msamaha aiseee maisha yake yatakuwa ya ivoivo....kakosewa yeye anaomba msamaha
Nyege zimeshakukamata, ulifanya maamuzi mkurupuko we rudi tu kimyakimya au mwambie jamaa mapema kuwa unataka mgegedoNina kama wiki hivi tulitofautiana kidogo na mume wangu. Tuligombana sana ila sio ngumi inshort alinikwaza.
Sasa kwa hasira nikahamia kulala chumba cha wageni nikidhani baada ya muda atakuja kunibembeleza na kuniomba msamaha yaishe nirudi chumbani.
Du!!! Sasa wiki imekatika jamaa hata muda hana natamani kurudi chumban lakini naanzaje maana niliamisha baadhi ya nguo na pochi zangu na vipodozi vyangu aisee jamaa hana time yaani tena akiingia chumbani anafunga na funguo.
Mimi hasira zimeisha naona aibu kurudi.
Nipeni mbinu jamani nifanyeje aanze yeye kunibembeleza?