Hatua hiyo nikama kansa, yaani tatizo ulianza kipindi kirefu na hapakuwa na mitigation mapema
Huwa nalaumu sana kuendekeza mzozo lazima kuondoa kasoro mapema..
Kushuka nakupuuza ndio msingi wa maisha marefu ya ndoa
Bado natafuta user guide/instruction manual ya ndoa na mahusiano.
Nina kama wiki hivi tulitofautiana kidogo na mume wangu. Tuligombana sana ila sio ngumi inshort alinikwaza.
Sasa kwa hasira nikahamia kulala chumba cha wageni nikidhani baada ya muda atakuja kunibembeleza na kuniomba msamaha yaishe nirudi chumbani.
Du!!! Sasa wiki imekatika jamaa hata muda hana natamani kurudi chumban lakini naanzaje maana niliamisha baadhi ya nguo na pochi zangu na vipodozi vyangu aisee jamaa hana time yaani tena akiingia chumbani anafunga na funguo.
Mimi hasira zimeisha naona aibu kurudi.
Nipeni mbinu jamani nifanyeje aanze yeye kunibembeleza?
Bro, una miaka mingapi kwenye ndoa???
Hivi vimisemo ndio mnapewa na wamagharibi sio??
Try me!!!!!!!

aiseeSina experience na mambo ya ndoa bro...!Bro, una miaka mingapi kwenye ndoa???
Hivi vimisemo ndio mnapewa na wamagharibi sio??
Try me!!!!!!!
Whatever manThat's is where we call you've failed
We don't want you to fail like this.
Mkuu sisi tukae pembeni na mbege yetu!

Hahahaaaaaa nimecheka sana mkuu daaaahhh!!Mkewangu alimikemea san kisa tu nimetoka kuangalia mpira jioni na nilimuaga akaninunia kabisa , baasi bwana mtu hasemi na mimi nikaondoka nikaenda bar kumeza bia muda wa saa tisa naingia hom nakuta mtu yupo macho anatweta tu kwa hasira na wala hanisemeshi nilokaa kimya siku 3 tu akatishia kunywa sumu yeye na watoto baasi nika mwambia dada kalete sumu ya panya ya elfu kumi akaleta nikakoroga na maji nusu ndoo nika mwambia dada kamwambie mzigo upo tayati annywe na awaweshe watoto,wakati huo nipo nje ma simu nazuga naongea na mchepuko asee hakunya wal nini na alikuja kupiga magoti nakuomba msamha ,mpaka wa leo u sister du umemuisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabla ya kukupa mbinu naomba kuuliza kama wewe ni wa kaskaziniNina kama wiki hivi tulitofautiana kidogo na mume wangu. Tuligombana sana ila sio ngumi inshort alinikwaza.