Kwa heshima yako kaka....nasitisha vita hii kwa muda usiojulikana....kwa mume wangu Mentor.....chepuka tu utakavyo...hamhitaji kujificha we na Khantwe......kwa Khantwe....ukiachika nitafanya party... miss neddy nzunae.....nasafiri kidogo...nahitaji mapumziko mafupi
Tatizo dogo sana hilo uwe unavaa khanga moko bila chochote yataacha kutikisika.
Yani Wewe subiri kuanzia wiki ijayo Arudi best Yangu! LAZIMA akupe talaka Uende Kwa Bulldog
no way mwa.!Really? My lil sis has manners bana....maybe she got a bit lonely and decided to flirt ...am sure it was nothing serious
no way mwa.!
didnt you see any signs of love to utafiti?
but your brother ntuzu saw it and questioned her!
you can imagine.. do you think that we are lovers anymore?
She loves you
That's what I know
Mmmmhhhhh......!!!!!
Bado nimekumind ujue?
mwallu, so the public saw the incident that miss neddy was doing with utafiti!Unanimaindi kitu gani? Mdogo wako akichepuka unapulizia mimi nikichepuka unagongelea msumari. Haki iko wapi?
Unanimaindi kitu gani? Mdogo wako akichepuka unapulizia mimi nikichepuka unagongelea msumari. Haki iko wapi?
I know nothing about his whereabout..... So how are you Shem?mwallu, so the public saw the incident that miss neddy was doing with utafiti!
she even kissed him! aargh! deym! i got angry..
by the way.... i have forgotten the case.!
Where is utafiti? he is very silent since i caught him eating my sugar!
Katika wanaume wooote wa kuchepukia ndo uchepukie kwa mume wa wifi yako?,Dada wa mumeo?
Aah kwani na yeye si mwanaume? Af huyo ndo mzuri make mambo yanamalizwa kifamilia....ukiingia kwingine walah wanakugecha
Mambo ya dual ID mabaya sana. Mods waliamua kumvua mask. Noma sana. By the way namheshimu sana wa poti Bujibuji
Nina mwili WA kawaida kabisa, ILA huko nyuma Nina mzigo mzito, laini, kiasi kwamba unatingishika Sana nitembeapo. Naona aibu kwani nashangiliwa na kupigiwa miluzi.
Nimejaribu kuvaa skin tight zaidi ya tatu kwa pamoja ili kukaza nyama zisitingishike lakini haisaidii.
Nimejaribu aina mbalimbali za mazoezi lakini bado tatizo liko palepale.
Nisaidieni means JF mwenzenu.
Toa ndogo kwa wachungaji.... halafu kumbe buji buji ni mpapai???