Unapozungumzia Daladala jifikirie Twice... huko kuna Vifua vikuu majosho magonjwa ya Ngozi Kuibiwa mali kuumia au kumuumiza mwingine, kutoleana maneno machafu n.k sasa wewe Unapitiwa then umepewa nafasi murua pale tu unapokuwa tayari ndio unafuatwa... pole sana kwa Shikrani hizo... ila nakushauri usijaribu kumuuzi akupendae hasara utakayopata ni kubwa sana.... Furahia upatapo nafasi kama hizo... haziji Twice zinaitwa Golden Chance never come twice. kama umechoka muambie tu... ila ataudhika na atakuwa free zaidi hivyo nafasi ya kumpoteza itakuwa karibu... na kama umechoka ni umechoka tu jitoe pengine atakuja mwingine... huwezi jua labda na yeye anakereka kukupitia kila siku

Aisee! nimecheka sana maana hii comment yako nikiijaribu kUileta Karibu na hii mada ina inakataa kabisa! DaaaNambie mengine sio ya kufungua siredi
SUPER KIBAMIA LOVER
TEAMO
Unadeeeka na umempata wa kukudekeza..kuna wenzio waume zao hawajui hata mke anafanya ofisi ipi...
We ni ke/me????
ulishazungumza nae kuhusu hilo au ndo umekuja kumsemelea tu?
Ciku akifa itakuaje jaribu kuwa independent ata kdogo baci mwenyewe atakua anakushangaa tu wasubiri mda wote wakati daladala, tax,bajaji,bodaboda,zimejaa tele
ujue ni mpenzi hapo!Ungrateful creature!
ila wanaume mna moyo! Yaani kila siku kumpitia mtu! Hapo unakuta anakaa tabata, wewe unakaa sinza, anafanya kazi posta na wewe unafanya mikocheni! Afu unaambiwa huendi bila kupigiwa!
mweeh, im glad i am a woman.
Ungrateful creature!