Nifanyeje ili nimsahau ex wangu

"Huyu kaka tulifahamiana tangu nilipokuwa form three, tulikuwa na ukaribu tu wa kawaida hatukuwa na mahusiano yoyote kwa kipndi hicho, lakini siku zilivyozidi kwenda nilianza kumpenda kutokana na ukarimu wake.

Siku moja alinitongoza kama utani utani lakin mim ndo nilikuwa nishampenda haswaa nilimkubalia japo ni kama hakuwa serious sana ili mm nilimpenda sana. tuliendelea kuwa na ukaribu nikijivunia kuwa nae.

Aliniahidi kunioa lakini haikuwa hivyo baada ya familia ya upande wangu kuinglia kati mahusiano yetu

Niseme tu ukweli huyo kaka alikuwa wa kwanza kumpenda na mpaka leo sijawahi kumpenda mwanaume yeyote zaidi au kama nilivyompenda yeye

Tulifanya mengi lakini hatukuwahi kufanya sex hata mara moja kwa kipndi chote hicho. kwasasa niko mbali naye huwa nawasiliana nae mara chache. Ahadi zetu zilishakuwa batili lakini kinachonitesa ni kwamba nashindwa kumtoa akilini mwangu kabisa yaani akili yangu haitaki kukubali kwamba nishamkosa

Nfanyeje ili nimsahau na niweze kuwa huru khisia?" ok subiri majibu
Ana haki ya kukuacha. Na inaonekana ulikuwa msumbufu sana kwake. Kwa nini ulikuwa hutaki kumpa mbichi/mzigo muda wote huo?

Anyway, ili umsahau itabidi u-move on. Anza kwa kufuta vitu vinavyofanya umkumbuke kama; meseji zake, picha zake, ikibidi hata na namba yake.

Jipende kwanza, siku moja moja jitoe out
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom