Nifanyeje ili nimsahau ex wangu

Nifanyeje ili nimsahau ex wangu

Dawa ya mapenzi ni mpenzi mwingine tuu na kuomba Mungu akuondolee hiyo sumu ya maomivu moyoni
 
Kama hamkufanya mapenzi na bado umeshindwa kumsahau basi njia pekee ilobaki ni kufanya mapenzi ndo kutakufanya umsahau
Mwambie
Matatizo ya kuanza mapenzi katika umri mdogo,imagine form three?
 
Kwenye ndoa zenu mmeoa wake zetu wanaotupenda, ndio maana kuna watoto mnalea ni wetu

Ushauri jitahidi kula sana mifupa ya samaki horombwe
 
"Huyu kaka tulifahamiana tangu nilipokuwa form three, tulikuwa na ukaribu tu wa kawaida hatukuwa na mahusiano yoyote kwa kipndi hicho, lakini siku zilivyozidi kwenda nilianza kumpenda kutokana na ukarimu wake.

Siku moja alinitongoza kama utani utani lakin mim ndo nilikuwa nishampenda haswaa nilimkubalia japo ni kama hakuwa serious sana ili mm nilimpenda sana. tuliendelea kuwa na ukaribu nikijivunia kuwa nae.

Aliniahidi kunioa lakini haikuwa hivyo baada ya familia ya upande wangu kuinglia kati mahusiano yetu

Niseme tu ukweli huyo kaka alikuwa wa kwanza kumpenda na mpaka leo sijawahi kumpenda mwanaume yeyote zaidi au kama nilivyompenda yeye

Tulifanya mengi lakini hatukuwahi kufanya sex hata mara moja kwa kipndi chote hicho. kwasasa niko mbali naye huwa nawasiliana nae mara chache. Ahadi zetu zilishakuwa batili lakini kinachonitesa ni kwamba nashindwa kumtoa akilini mwangu kabisa yaani akili yangu haitaki kukubali kwamba nishamkosa

Nfanyeje ili nimsahau na niweze kuwa huru khisia?" ok subiri majibu

Una pepo
 
jiue
 
mtoto wa kike unajiliza na mapenzi na unajiita Gadaff
 
Weka mbali na vitu ambavyo alikupa wewe, au hata sehemu ambazo alikuwa mnapenda kwenda kwa pamoja usiende kwa sasa.
 
Kwa hio una bikra? Au ushatolewa

Njoo nikusahaulishe 😘😛😉😉
 
Back
Top Bottom