Nifanyeje ili nimsahau ex wangu

Nifanyeje ili nimsahau ex wangu

I'm not familiar na kudrop comment honestly but huu Uzi umenigusa,

Sound like same stor 6+ yrs back nakumbuka Huyu X nilimkubali since Day one alivyohamia shule niliyokua na som nikiwa 4m3 n was ready to do anything awe happy the moment nimegraduate 4 honestly alinifanya niwe more than happy picha ilianza kua ya Moto pale nilipo jiunga chuo fulan hivi kupiga certificate, at the same point ye ndo alikua advance, naishia hapa.

kilichonikuta "n reason why cjawah kuget indeep na mtot mtu tena ni juu juu tu, nothing to lose.
to my experience kusahau might be impossible, solution ni ku move on na maumivu kifuani.

"True love never Die"
*n kama Una picha zake, conservations, no. yake n.k just Erase might hel kupunguza maumivu, tho the more unaendelea kua na ukaribu nae the mo prob otherwise Do what makes you happy 😊

My Best Wish kwake Siku nikikutana nae I wish nimwone akiwa Happy.
Hivi shuleni ulienda kusomea ujinga?

Kwanini unaandika vitu visivyoeleweka uzungu pori mwingi kumbe unajidhalilisha tu kumbafu.
 
Khaaa! Yan hamjafanya lolote tayari ashakuwa ex mngesex now ungekuwa unajiita mjane #JOKES
ila kwangu mimi kama hatuna mtoto we sio ex tulikuwa tunafurah maisha tu kama wanaonunua malaya na kwenda zao maana nna uhakika kama hela nilikuwa nakupa xa vp nisikuite malaya kama wanaojiuza wale tukipata mtoto ndo unaweza sema we ni ex inshort sina ex
dada Gadaff kama unavyojiita fanya tu umove on kwakuwa haina namna kwakuwa wazaz washaharibu nenda tu hvyohvyo na maumivu moyon mungu atakuongesha njia
 
Back
Top Bottom