Nifanyeje ili nimpate wa Dini yangu?

Nifanyeje ili nimpate wa Dini yangu?

Yupo wa dini yangu ananipenda sana ila ni mchaga sipendi anavyoongea alafu na meno yake yote yana rangi ya kichaga nikifikilia romance dah ata anisisimui na sijawahi kuwa na hisia nae ila yeye anaonesha kunipenda sana alinifatilia huko nyuma bila ya mi kujua this month kaja kutoa ya moyoni ilikuwa last week ila simpendi yani tembea yake ongea yake na meno mmh ata siwezi
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Sasa si ubadili tu dini, kwani Sh ngapi..
Karimu sana muslimun uje kufaidi tabu za dunia.. Huku Sie hatuna makuu
Ila nawapenda sana mademu was kulowa mapema kama we
Ni-PM tafadhari
 
Kumbe umekuja kunianika huku,hata mm sikupendi nakuchezeaga tu,futa no,yangu kuanzia sasa tusijuane tena tafta wa dini yako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom