Nifanyeje ili nimpate wa Dini yangu?

Nifanyeje ili nimpate wa Dini yangu?

Yupo wa dini yangu ananipenda sana ila ni mchaga sipendi anavyoongea alafu na meno yake yote yana rangi ya kichaga nikifikilia romance dah ata anisisimui na sijawahi kuwa na hisia nae ila yeye anaonesha kunipenda sana alinifatilia huko nyuma bila ya mi kujua this month kaja kutoa ya moyoni ilikuwa last week ila simpendi yani tembea yake ongea yake na meno mmh ata siwezi
😂😂😂watakuja kukwambia mapenzi sio sura/muonekano
 
Kuna huduma za kusafisha meno na kuyabadili rangi ukitaka. Mshauri muende huko.

Ilaaaaaa vip na wewe unaye Chura [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ha ha ha mi spend anavyoongea kiarusha
 
Najionea shida kweli na meno yake nakipendaga ila huyu na haya meno hapan aixee! Tembea yake dah siwez
Lafudh yao naipendaga ila uyu nais sijamkubal tu ni maji ya kunde kapanda lakin dah acha kipendacho ni roho yupo atakayempenda.
 
Lafudh yao naipendaga ila uyu nais sijamkubal tu ni maji ya kunde kapanda lakin dah acha kipendacho ni roho yupo atakayempenda.
Yaani unajuaga chalii nakupendaga sana! Ntaenda kwa mangi pale nikufanyie shopping ha ha ha dah hatar aisee
 
I can learn u more than these tenses if you want we have also present perfect tense which states N/PR + verb to be + past participle so in this tense our verb to be (has&have)+past participle example write wrote written so you will make a sentence through your rule as usual he she it going with has I we they going with have example of sentences I have written.she has written.as I told you not every where you can put a noun or pronoun these can change example Amina has written etc.
Mmmh unashida somewhere hapa kwenye uzi tena umegeuza darasa na unaendealea kujiquote 🙄
 
Hebu njoo PM tulimalize hili swala, hapa unapoteza njoo PM IPO wazi masaa 48
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom