Nifanyeje ili nimpate wa Dini yangu?

Nifanyeje ili nimpate wa Dini yangu?

Amua moja bado mapema usipoteze muda wa mtu na wako pia
Yupo wa dini yangu ananipenda sana ila ni mchaga sipendi anavyoongea alafu na meno yake yote yana rangi ya kichaga nikifikilia romance dah ata anisisimui na sijawahi kuwa na hisia nae ila yeye anaonesha kunipenda sana alinifatilia huko nyuma bila ya mi kujua this month kaja kutoa ya moyoni ilikuwa last week ila simpendi yani tembea yake ongea yake na meno mmh ata siwezi
 
Nakuelewa kwenye meno 😂😂😂😂
 
[emoji38]ss mungu akupe nn tena jamani

Meno yanasafishika hospital
 
Yupo wa dini yangu ananipenda sana ila ni mchaga sipendi anavyoongea alafu na meno yake yote yana rangi ya kichaga nikifikilia romance dah ata anisisimui na sijawahi kuwa na hisia nae ila yeye anaonesha kunipenda sana alinifatilia huko nyuma bila ya mi kujua this month kaja kutoa ya moyoni ilikuwa last week ila simpendi yani tembea yake ongea yake na meno mmh ata siwezi
Ila uyu yupo complete everywhere alivyo tu ki appearance yuko smart sana nampenda sana napenda mwanaume mpole mrefu ila sio mrefu sana
 
Yani tuna match sana
Nitamwacha lakini mana ananipa changamoto za kujibana mana ata staki watu wajue ka nipo nae kwasababu ya dini yake wakijua home ndo kabisa najua hawatamkubali ata Mimi pia moyo wangu haupo tayari kubadili dini
 
Angekuwa mkristu ningeshatambulisha mahusiano yangu coz nampenda na ye ananipenda pia japo ye marafiki zake anatambulisha uyu ndo shemeji yenu ila mi naficha
 
Kwa uelewa wako dini ni nini? Kwa nini unamwita mwenzako haramu? Nani alikwambia hiyo dini yako ndo halali?
Halamu ni kile kitu ambacho hakifai kwa mtu au kutumika nani nimemwita haramu uyo ni mwislamu mimi ni mkristu Mimi ni haramu kwake na yeye ni haramu kwangu hatuendani
 
Joanah njoo unisaidie kung'amua hii

Uzi uliopita kawaita wanaume Piemu naona muitiko haukuwa mzuri
Ukipitia comments zake za mbele kwenye huu uzi ni kwamba anatafuta mchumba

Anasema anapenda mwanaume wake awe
Mpole mixer mrefu lakini asiwe mrefu sana
Mkristo
Asiwe mchagga kwasababu kuna yale meno ya kichagga yanamkata stimu kwa ile rangi yake

Tuvumilie kidogo labda atataja na umri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom