Nifanyeje ili nimpate wa Dini yangu?

Nifanyeje ili nimpate wa Dini yangu?

Yupo wa dini yangu ananipenda sana ila ni mchaga sipendi anavyoongea alafu na meno yake yote yana rangi ya kichaga nikifikilia romance dah ata anisisimui na sijawahi kuwa na hisia nae ila yeye anaonesha kunipenda sana alinifatilia huko nyuma bila ya mi kujua this month kaja kutoa ya moyoni ilikuwa last week ila simpendi yani tembea yake ongea yake na meno mmh ata siwezi
Meno mpeleke akasafishe yanakuwa meupe tu.
Kuhusu kutembea unataka ajifunze catwalk?
 
You are English is beautiful. Sijui nimepatia maana mimi najifunza
[emoji1787]
Oh ma God even maself I m not de best one but more time najikut niki mix lg even nikimtypia mtu normal text najikut na mix words kiswa English naon inanisaidia kuimprove ma English kidog kidogo don't give up.
Only practice is needed try to study different articles and watch da moves which has translated in English! U will read the words and try to translate urself in swahil.
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
 
Mkuu hili ni suluhisho pekee
Kama akiona ugumu kupoteza "penzi" basi abadili dini aendelee " kulowa" akimtazama usoni
[emoji3]
Usiombe umpende mtu huna aja ya kushikwa shikwa yani Mimi nikimpenda mtu huwa napenda kumwangalia usoni na anavyoongea maneno yake yan hapo lazima nijichafue jamani kupenda kubaya Ila nisipokupenda doh utapata tabu sana yani had jasho litakutoka Niko vile vile
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom