Mc cane
JF-Expert Member
- May 18, 2018
- 5,566
- 10,532
1. Mshawishi abadili dini awe dini yako
2. Hudhuria sana maeneo ambayo wanaume wa dini yako wanapatikana, ishi mkoa/Wilaya yenye watu wengi wa dini yako, nenda nyumba za ibada n.k.
2. Hudhuria sana maeneo ambayo wanaume wa dini yako wanapatikana, ishi mkoa/Wilaya yenye watu wengi wa dini yako, nenda nyumba za ibada n.k.
Jamani najikuta nipo kwenye mahusiano ambayo ni haramu kwa sasa hayafai ata kutambulisha ndugu. Nimepata mwanaume mwislamu jamani japo ana mapenzi yote ila ili, suala linanipunguzia hata hisia za kimapenzi katika mwili japo nikimuona uwa nafurahi sana.
Yaani sipendi ipite siku nisimwone, tukionana napenda kumfanyia matani yaani kumpiga vingumi kwa mbali vya kimahaba katika mwili wake. Siku za mwanzoni nilikuwa nikimwangalia tu usoni nishalowa yaani alikuwa ananipa hisia sana ila hii dini jamani inanifanya nimpoteze ninayempenda.