Nifanyeje ili nimpate wa Dini yangu?

Nifanyeje ili nimpate wa Dini yangu?

Uzi uliopita kawaita wanaume Piemu naona muitiko haukuwa mzuri
Ukipitia comments zake za mbele kwenye huu uzi ni kwamba anatafuta mchumba

Anasema anapenda mwanaume wake awe
Mpole mixer mrefu lakini asiwe mrefu sana
Mkristo
Asiwe mchagga kwasababu kuna yale meno ya kichagga yanamkata stimu kwa ile rangi yake

Tuvumilie kidogo labda atataja na umri
Thank u for ur comment u can add to me another comment if u feel.it s ur time to comment.
 
Yupo wa dini yangu ananipenda sana ila ni mchaga sipendi anavyoongea alafu na meno yake yote yana rangi ya kichaga nikifikilia romance dah ata anisisimui na sijawahi kuwa na hisia nae ila yeye anaonesha kunipenda sana alinifatilia huko nyuma bila ya mi kujua this month kaja kutoa ya moyoni ilikuwa last week ila simpendi yani tembea yake ongea yake na meno mmh ata siwezi
Depal Hebu njoo huku
 
Imebidi nipitie nyuzi zako zote, nimegundua unamatatizo ya upweke yanakusumbua. Unajaribu kujitutumua ili uwe sawa lakini bado..

Pole sana Dada, ukipata mwanaume kama Mimi utakuwa sawa tu.
 
Uzi uliopita kawaita wanaume Piemu naona muitiko haukuwa mzuri
Ukipitia comments zake za mbele kwenye huu uzi ni kwamba anatafuta mchumba

Anasema anapenda mwanaume wake awe
Mpole mixer mrefu lakini asiwe mrefu sana
Mkristo
Asiwe mchagga kwasababu kuna yale meno ya kichagga yanamkata stimu kwa ile rangi yake

Tuvumilie kidogo labda atataja na umri

Sikukosea kukuita aisee.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom