Nifanyeje ili nimpate wa Dini yangu?

Nifanyeje ili nimpate wa Dini yangu?

Yupo wa dini yangu ananipenda sana ila ni mchaga sipendi anavyoongea alafu na meno yake yote yana rangi ya kichaga nikifikilia romance dah ata anisisimui na sijawahi kuwa na hisia nae ila yeye anaonesha kunipenda sana alinifatilia huko nyuma bila ya mi kujua this month kaja kutoa ya moyoni ilikuwa last week ila simpendi yani tembea yake ongea yake na meno mmh ata siwezi
Dah kumbe hunipendi...asante JF
 
Uzi uliopita kawaita wanaume Piemu naona muitiko haukuwa mzuri
Ukipitia comments zake za mbele kwenye huu uzi ni kwamba anatafuta mchumba

Anasema anapenda mwanaume wake awe
Mpole mixer mrefu lakini asiwe mrefu sana
Mkristo
Asiwe mchagga kwasababu kuna yale meno ya kichagga yanamkata stimu kwa ile rangi yake

Tuvumilie kidogo labda atataja na umri
Au pengine atatuhabarisha na habari ya uzazi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom