Nifanyeje ili nifanikiwe kama Bakhresa?

Android or ios

  • ANDROID

  • iOS


Results are only viewable after voting.
Vipo vingi aisee.

Hapa hatujaongelea utajiri tu.
Tumeongelea zaid ya utajiri kama mtoa mada alivyosema mwanzon.

Unaweza ukawa mfanyabiashara na ukawa tajiri, ila sio anao uwaza mtoa mada.
Hakuna Hakuna Hakuna

OK tuzungumzie uwo utajiri alichofanya Jack Ma kipya Albaba sikama Amazon mbona kawa Billionaire mkubwa.
 
Vipo vingi aisee.

Hapa hatujaongelea utajiri tu.
Tumeongelea zaid ya utajiri kama mtoa mada alivyosema mwanzon.

Unaweza ukawa mfanyabiashara na ukawa tajiri, ila sio anao uwaza mtoa mada.
Hakuna Hakuna Hakuna

OK tuzungumzie uwo utajiri alichofanya Jack Ma kipya Albaba sikama Amazon mbona kawa Billionaire mkubwa.
 
Hakuna Hakuna Hakuna

OK tuzungumzie uwo utajiri alichofanya Jack Ma kipya Albaba sikama Amazon mbona kawa Billionaire mkubwa.

Ni kweli vinafanana.
Ila unajua kingine kipi kimefanana, waliamzisha vyote vikiwa ni wazo jipya na hakuna mtu aliwah fanya hapo awali.
Kila mtu akawa Monopoly kwenye Bara lake.

Na wakasambaa zaid Duniani wote kwa wakati mmoja.

Wakiwa na system nzur na imara iliyotengenezwa kwa miaka mingi.

Mm ninaamini kwenye ujasiliamali zaid na sio ufanyabiashara.
 
Wewe tayari umeshakufa masikini!Utajiri ni passion,utajiri ni kujitoa mhanga,utajiri ni sacrifice,utajiri ni internal potential,utajiri ni gharika ilioko ndani ya mtu ambayo haizuiliki,utajiri ni matumizi sahihi ya muda na kadhalika ila wewe unang'aa macho huku!
 
Na ili uwe Mjasiliamani inabidi uwe na cha kwako tofauti.

Najua utawaza mifano mingi.

Lakin Mm nakutolea mfano mdogo tu.
Wa watu wawili wanaopika maandazi.

Na wako eneo moja,
Na wanasambaza maandazi yao sehemu hizo hizo.(maduka hayo hayo ili watu wawauzie).

External factors zote ziwe Constant (bei, upatikanaji nk).

Alaf ikatokea Muaandaaji moja wa maandazi akauza zaidi.

Basi atakuwa anatengeneza andazi zuri zaidi ambalo eneo lile analo sambaza hakuna andazi kama lile analoandaa.

Sasa chukulia mfano huu. Ndio ninachomaanisha. Vipya viko viiingi sana.

Ili ufanikiwe tengeneza kitu ambacho hakijawaho kitengenezwa mtaani kwako,
Wilayan, mkoan, nchini nk nk.

Ni hayo tu
 
Habari Wakuu

Naomba ushauri wenu mimi ninandoto yakua tajiri kama mfanyabiashara Said Salim Bakhresa.

Je, nifanye nini ili nifanikiwe Kimaisha?

Toa maoni yako hapo
Tafuta njiwa yatima mmoja, kuku wawili weusi wenye matege na chumvi ya mawe ukivipata njoo pm nikupe maelekezo.
 
Naomba ujibu masawali yafuatayo, kisha nakuandalia ushauri mzuri kabisa, na ukiufuatisha hata usipokuwa kama Bakhressa utakuwa na maisha mazuri ya ki milionea na panapo majaaliwa utawasili.
1.Unajishughulisha na kitu gani kwa sasa kinachoingiza kipato?
2.Una ujuzi au fani gani?
3.Unalala masaa mangapi katika masaa 24
4.Kwa siku unawasiliana na watu wa ngapi ana kwa ana na kwa njia ya simu?
5.Umewahi kuishi mji gani mkubwa?na je umewahi kuishi maeneo ambayo ni ya ndani ndani kwa muda gani mfululizo?
6. Kwa nini unataka kuwa tajiri kama Bakhressa na usiwe kama tajiri jirani yenu unaemwona katika maisha ya kila siku?
7.Huwa unatoka mapumziko nje (kwenda out)
8.Kitabu gani umewahi kukisoma cha namna ya kuwa tajiri.
9.Tukiweka mambo mawili yani Imani na Juhudi binafsi, na jambo mojawapo lina asilimia 70 ya kukufanya kuwa tajiri, utalipa jambo gani hizo asilimia 70?
10.Rafiki zako watano ukikutana nao asilimia 70 ya maongezi ya msingi kama vile kuanzisha biashara,kufatilia deals mnaenda kuyatekeleza?
11.Mji unaokaa sasa ndio mji uliokulia?
NB:Mimi sio tajiri, lakini nina ushauri katika hili
 
Ni kweli vinafanana.
Ila unajua kingine kipi kimefanana, waliamzisha vyote vikiwa ni wazo jipya na hakuna mtu aliwah fanya hapo awali.
Kila mtu akawa Monopoly kwenye Bara lake.

Na wakasambaa zaid Duniani wote kwa wakati mmoja.

Wakiwa na system nzur na imara iliyotengenezwa kwa miaka mingi.

Mm ninaamini kwenye ujasiliamali zaid na sio ufanyabiashara.
Duuh.. mkuu, hawako peke yao kwenye mabara yao mkuu, na hata wakati wanaanza hawakuanza peke yao , na ukubwa walio nao hawako peke yao , Jack Ma sio Richest man in china, angalia ile Top 3 , Ni biashara gani wanafanya
 
Ukitaka kuwa millionea tatua matatizo ya watu elfu moja, ukitaka kuwa billionea kama bakhresa inabidi utatue matatizo ya watu million moja, ukitaka kuwa trilionea kama bill gate au mark zuckerberg tatua matatizo ya watu bilioni moja.
Nitajaribu kutatua ayo matatizo
 
Tujifariji japo

STEP 01
Ukitaka kuwa kama Bakhresa kwanza jaribu kuwa kama Reg Mengi, ukitaka kuwa kama Reg Mengi amejielezea kwenye kitabu chake.

STEP 02
Ili kufikia Billion 600 ndani ya miaka 30 mbele kwasiku inabidi uingize around 70M-80M, ili uingize 80M kwasiku njia rahisi uwe na vyanzo vya pesa vinne (4) kila kimoja kikupe 20M kwasiku.

Kwabla kuwaza kuingiza 80M kwasiku umiza akiri utawezaje kutengeneza 20M kwasiku.

Ukishapata iyo Biashara na mchakato wake na ukatengeneza kweli 20M kwasiku Diversify ×4 upate 80M kwasiku.

Question
Biashara gani utapata 20M kwasiku ??
Madini kabisa sasa biashara gani itaniingiza 20 milion profit kwa siku? Mfano plz
 
"Kama Hujakuta utajiri kwenye Familia yako, hakikisha Utajiri unauanzisha wewe". - unknown.

Fanya/anzisha kitu cha kipekee ambacho hakuna mtu ameshawahi kufanya kwenye Mazingira yako, utapata hela, na kama unataka hela nyingi zaid fanya ambacho wilaya yako hakuna mtu kafanya.

Na kama unataka hela zaid fanya ambacho Nchi yako hakuna mtu anafanya.

Na kama unataka uwe tajiri zaidi fanya ambacho Africa hakuna mtu amefanya.

Na uwe tajiri zaidi, basi fanya kitu ambacho Dunia hakuna mtu anafanya na watu wakipende/wakihitaji kama ni bidhaa au wahitaji kama ni Huduma.
Safi sana
 
Hapa ndio Tofauti ilipo.

Kaa chini sumbua sugua kichwa.
Kama una uwezo mkubwa wa kifikiri na una weza kupata Rasiliamali kwa namna yoyote ile na pia ukaweza kumaster Mazingira yako, hakika utatoboa kwenye haya maisha.

Ila tukicopy na kupaste.
Au kutwa kuuza huduma/bidhaa za watu.
Tutaishia kupata hela ya mboga.

Mo Dewji na Bakhresa wana huduma na bidhaa wanatengeneza na kusambaza Africa Mashariki yote.

Na system imetengenezwa na inazid kukua.

Sasa sisi tujidai tunafungua Duka alaf Bidhaa tunanunua kwa hao Magwiji, alaf utajirike.

Hapana.
Tutapata hela kusukuma/ kurahisisha Maisha.

Ni mawazo yangu lakini.
Nakubalia nawe
 
Back
Top Bottom