Nifanyeje ili nifanikiwe kama Bakhresa?

Nifanyeje ili nifanikiwe kama Bakhresa?

Android or ios

  • ANDROID

  • iOS


Results are only viewable after voting.
Mh! Nilibahatika kukutana nae ila sikumuuliza hili swali, nilichomuuliza, hua anatumia kitu gani kutafuta wazo la biashara hadi akiianzisha inafanikiwa? Akasema wengi nnaokutana nao wanaomba pesa, nikamwambia ukinipa pesa ntaitumia itaisha, sitaki kurudi tena kukuomba pesa siku ingine.

Zaidi ya kuniuliza naitwa nani, nafanya nini na naishi wapi hatukuweza kufikia muafaka na boat ilikua imefika tukashuka.

Bahati mbaya boat ilikua ndio inakaribia kutia nanga akasema hata hiyo miradi na biashara anazifanya, haziendi ki ulaini kama tunavyoona huku nje, kuna zingine zinacjangamoto na huingia hasara inabidi warekebishe au kubadili mfumo.

Awazavyo mtu, ndivyo alivyo. Ukiendelea kuwa na mawazo ya kuwa tajiri ukachukua hatua stahiki, unaweza usiwe kama Bakhresa ila utakua na pesa.

Utajiri unaanzia kichwani kwenye fikra na mawazo yako.
Hii nimeipenda sana [emoji106]
 
Ni swali zuri sn ILA,,,,,
Sema ili ufanikiwe km wahindi na waarabu ambao ndio mabilionea huku sisi ni miayo tuuu.......
 
Wewe tayari umeshakufa masikini!Utajiri ni passion,utajiri ni kujitoa mhanga,utajiri ni sacrifice,utajiri ni internal potential,utajiri ni gharika ilioko ndani ya mtu ambayo haizuiliki,utajiri ni matumizi sahihi ya muda na kadhalika ila wewe unang'aa macho huku!
Ushauri
 
Na ili uwe Mjasiliamani inabidi uwe na cha kwako tofauti.

Najua utawaza mifano mingi.

Lakin Mm nakutolea mfano mdogo tu.
Wa watu wawili wanaopika maandazi.

Na wako eneo moja,
Na wanasambaza maandazi yao sehemu hizo hizo.(maduka hayo hayo ili watu wawauzie).

External factors zote ziwe Constant (bei, upatikanaji nk).

Alaf ikatokea Muaandaaji moja wa maandazi akauza zaidi.

Basi atakuwa anatengeneza andazi zuri zaidi ambalo eneo lile analo sambaza hakuna andazi kama lile analoandaa.

Sasa chukulia mfano huu. Ndio ninachomaanisha. Vipya viko viiingi sana.

Ili ufanikiwe tengeneza kitu ambacho hakijawaho kitengenezwa mtaani kwako,
Wilayan, mkoan, nchini nk nk.

Ni hayo tu
This is great advice [emoji106]
 
Nilikuwa nina wazo la Drop Shipping na nikajifunza . Ila nina wazo kama hilo ila ni tofauti.

Drop Shipping nikaona sitaweza kuwa nalo Sustainable.

Ila kuna kitu mm nina amini kwenye kupata wazo la biashara.
Ni kujaribu na kujifunza vitu vipya. (Gaining Knowledge).

Ni kama kuunoa/kuupa nguvu Ubongo wako. Ipo siku utajikuta unakuja na Bonge la wazo la biashara.

Mm kichwani ni mjasiliamali. Ingawa sijafanya ujasiliamali so far. Ila nishafanya biashara nne so far.

When Time, Resources zote nikizipata nitafanyia kazi mawazo yangu moja had lingine.
 
Naomba ujibu masawali yafuatayo, kisha nakuandalia ushauri mzuri kabisa, na ukiufuatisha hata usipokuwa kama Bakhressa utakuwa na maisha mazuri ya ki milionea na panapo majaaliwa utawasili.
1.Unajishughulisha na kitu gani kwa sasa kinachoingiza kipato?
2.Una ujuzi au fani gani?
3.Unalala masaa mangapi katika masaa 24
4.Kwa siku unawasiliana na watu wa ngapi ana kwa ana na kwa njia ya simu?
5.Umewahi kuishi mji gani mkubwa?na je umewahi kuishi maeneo ambayo ni ya ndani ndani kwa muda gani mfululizo?
6. Kwa nini unataka kuwa tajiri kama Bakhressa na usiwe kama tajiri jirani yenu unaemwona katika maisha ya kila siku?
7.Huwa unatoka mapumziko nje (kwenda out)
8.Kitabu gani umewahi kukisoma cha namna ya kuwa tajiri.
9.Tukiweka mambo mawili yani Imani na Juhudi binafsi, na jambo mojawapo lina asilimia 70 ya kukufanya kuwa tajiri, utalipa jambo gani hizo asilimia 70?
10.Rafiki zako watano ukikutana nao asilimia 70 ya maongezi ya msingi kama vile kuanzisha biashara,kufatilia deals mnaenda kuyatekeleza?
11.Mji unaokaa sasa ndio mji uliokulia?
NB:Mimi sio tajiri, lakini nina ushauri katika hili
Nipe huo ushauri mkuu. Nausubiri.
 
Nilikuwa nina wazo la Drop Shipping na nikajifunza . Ila nina wazo kama hilo ila ni tofauti.

Drop Shipping nikaona sitaweza kuwa nalo Sustainable.

Ila kuna kitu mm nina amini kwenye kupata wazo la biashara.
Ni kujaribu na kujifunza vitu vipya. (Gaining Knowledge).

Ni kama kuunoa/kuupa nguvu Ubongo wako. Ipo siku utajikuta unakuja na Bonge la wazo la biashara.

Mm kichwani ni mjasiliamali. Ingawa sijafanya ujasiliamali so far. Ila nishafanya biashara nne so far.

When Time, Resources zote nikizipata nitafanyia kazi mawazo yangu moja had lingine.
Sawa sawa weka malengo yako mbele, Amini utafanikiwa na vizuri kujifunza zaidi. Everything is possible mkuu [emoji106]
 
Endelea kuota mkuu,,,ukisha amka nitamwambiya cha kufanya
 
Back
Top Bottom