Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,976
- 13,435
Habari zenu waungwana!
Ni hivi huyu mwanamke kila ninachokitaka mimi yeye hakitaki na wala yeye hataki kuniambia anapendelea nini na anapendelea kufanywa nini?
Nikimwambia basi kila mtu aangalie hamsini zake hataki nimfanyeje huyu mwanamke?
Nalog off