ASUBUHI
*Supu bakuli mbili, chapati 4 na pepsi moja baridii
MCHANA
*Chips zege mayai yawe matano, vidali vya kuku viwili na kipaja kimoja ongezea na filigisi 3 halafu mwambie muuza kiepe akumiminie mafuta kwenye kikombe unywe
JIONI
*Ugali wa dona robo, nyama ya ng'ombe/mbuzi kilo 1, soseji 5, mayai ya kuchemsha 5, karanga mbichi robo, korosho robo na African fruit box 1
Hata kama ujisikii kula we kandamiza tu baada ya wiki moja unaitwa bonge nyanya na hakikisha umeandaa pesa ya kwenda kununua nguo mpya kwa ajili ya ubonge
USISAHAU KULETA MREJESHO BAADA YA KUWA BONGE