Nifanye nini niongezeke uzito?

Nifanye nini niongezeke uzito?

Kwa nini unakula kidogo bibie?
Mazingira yako ya kazi au nyumbani hayakuruhusu kula kwa wakati?
Je unauhakika mwili huo unaoutaka kwenye familia yenu watu wengi wapo hivyo isipokuwa wewe tu ndio sio kibonge?
Kwa upande wa bi mdashi wote wabonge sema watoto wa bimdashi sote ni wembamba
 
Kwa nini unakula kidogo bibie?
Mazingira yako ya kazi au nyumbani hayakuruhusu kula kwa wakati?
Je unauhakika mwili huo unaoutaka kwenye familia yenu watu wengi wapo hivyo isipokuwa wewe tu ndio sio kibonge
Mazingira yanaruhusu sema ndo hvyo nikila kidogo tu nakua nshashiba ani,nkitaka nile vizuri mchana basi asubuhi nabid nisinywe chai...nkinywa chai mchana nkija kula nakula kidogo
 
Jamani naombeni ushauli, mimi ni mdada nataka kunenepa😒Nina kilo 52 sasahv nataka kuongezeka mwili lakini yani kula kwangu kunasuasua ani, nikila kidogo tu nakua nshashiba ani.

Nawaza kutumia protein powder ila sina uhakika nayo sana kama inafanya kazi.Naombeni ushauli kwa alie na experience
Picha tukuone
 
Kula beer za kutosha shushia na supu na chapati na michemsho ndani ya wili mbili njoo pm unishukuru! Ukinishukuru kwa mbususu itapendeza!
 
Back
Top Bottom