Nifanye nini kumudu maumivu ya kushuhudia siku za mwisho za uhai wa mke wangu?

HATIMAYE AMEAGA DUNIA BAADA YA MAPAMBANO YA MUDA MREFU NA SARATANI YA MATITI ILIYOSHAMBULIA MAPAFU YAKE.

ALIYETOA NDIYE AMETWAA, JINA LA BWANA LIHIMIDIWE

Pole sana bro, Mwenyezi Mungu akakuongoze katika kipindi hiki kigumu cha kumpoteza Mke wako…
 
Pole sana Ndugu Mungu akusaidie sana, dumu katika Sala na Maombi jipe moyo kuwa lisilowezekana kwa Mwanadamu kwa Mungu linawezekana.
 
HATIMAYE AMEAGA DUNIA BAADA YA MAPAMBANO YA MUDA MREFU NA SARATANI YA MATITI ILIYOSHAMBULIA MAPAFU YAKE.

ALIYETOA NDIYE AMETWAA, JINA LA BWANA LIHIMIDIWE
Mwenyezi Mungu akawe faraja kwako katika kipindi hiki kigumu mkuu. Pole sana kwa mapito hayo.
 
Back
Top Bottom