Nifanye nini karo la choo lisijae haraka?

Nina sikia sikia.
Kuwa chumvi na chokaa zinayeyusha Kinyesi na kuwa maji maji na kama udongo ni mzuri basi hayo maji maji hupita chini kwa chini na kupotea
 
Wengine wanasema eti nimwage chumvi kama kilo 50 hivo kwenye hilo shimo lililojaa itasiadia
Hilo shimo lako linashida ya drainage flow..... Taka zinatangulia na kublock maji, so yanarudi juu.

Na swala jingine ni aina ya udongo.... Udongo mzuri ni ule wa mchanga na sio wa mfinyanzi......
 
Kwa bi mkubwa shimo limenza kutumika 1988. Hadi leo hii hapa naandika halijaleta shida wala hakuna mtu kaenda kunyonya tokea wakati huo yaani tokea mwaka 1988 halijawahi hata kufunguliwa mifuniko yake.
 
Zipo dawa za kichina uliza tu madukani huwa nazitumia ni nzuri sana zinatelemsha chini kabisa zinabadilisha maji yanakuwa mvuke
Mchina anasemwa vibaya tu ila anajituma sana kubuni vitu tunavyohitaji MUNGU awabariki wachina popote walipo. Sio marekani kakalia usenge tu wa kutawala wenzake na hana msaada wowote kazi kuwatesa wenzake...
 
Sehemu zenye high water table jitahidi soak away pit yako itokeze angalau 30cm above ground level! Wengi siku hizi wanataka mashimo yawe usawa wa ardhi hapo lazima kijae kila siku!
But mkuu haishauriwi kujenga choo eneo lililo kimo cha karibia na water table.....
 
Ni flanch boss sio French!
 
Ni flanch boss sio French!
Mkuu inabidi nikupe shule kidogo, maana hata dictionary hakuna kitu “flanch”

French drains.......

A French drain is a trench filled with a perforated pipe and gravel that allows water to drain naturally from your yard. Depending on the size of your yard and the scale of your drainage issue, you can purchase the pipes and equipment to create a French drain yourself.
 
Nina sikia sikia.
Kuwa chumvi na chokaa zinayeyusha Kinyesi na kuwa maji maji na kama udongo ni mzuri basi hayo maji maji hupita chini kwa chini na kupotea
Halafu baadae yanakuja ardhini kama chemchemi then tunayatumia kama kawa
 
Mchina anasemwa vibaya tu ila anajituma sana kubuni vitu tunavyohitaji MUNGU awabariki wachina popote walipo. Sio marekani kakalia usenge tu wa kutawala wenzake na hana msaada wowote kazi kuwatesa wenzake...
Wewe samson utakuwa ulikataliwa na mmarekani maana chuki zako kwa wamarekani huwa hazina mashiko
 
Weka chumvi ya mawe hata kilo kumi au magadi ndani ya shimo la choo ndani ya mwezi utaona maji yamenywea kabisa,mimi nimeshatumia ninauhakika.
 
Watu wanakulisha matango pori hapa mkuu. Hakuna decmposition sijui mnaogea sabuni wala kula sana hapa.

Tatizo lako ni kwamba, cesspit au septic tank lako liko sehemu ambayo ina low water table. Ka maana nyingine chimo lako la choo limekuwa kama kisima cha maji. KInacholijaza sio sewage yenu bali ni maji yanayoingia toka nje (underground water flow). Hili ni tatizo linalowakabili watu wote wanaoishi sehemu zenye majimaji kama Sinza. Sintashangaa kusikia tatizo lako ni kubwa hata zaidi wakati wa mvua.

Tatizo ulikosea wakati wa kulijenga. Katika sehemu za maji, unapojenga cesspit lazima ulisilibe sana kwa cement ili lisiingize maji kutoka nje kwa kupitia chini au kuta za pembeni. Lazima liwe water tight kama vile unavyotengeneza swimming pool.

Sasa solution ni kujenga jipya kwa jia niliyokueleza hapo juu, maana sio rahizi kuli-seal cesspit lililokwisha tumika.

Unapojenga la pili unaweza kulifanya lililopo liwe lina-overflow kwenda la pili. KUmbuka kwamba wakati wa kiangazi kikali unaweza ukawa na vesspit ambalo linakausha maji kwa kuwa udongo unaolizunguka unakuwa mkavu na hivyo maji yanaflow kutoka kwenye ceepit lako kwenda nje. Wkati maji nje ya ceepit yamezidi basi yatasababisha kulijaza cesspit. KUna kitu kama diffusion hivi kinafanyika.

THeory ya kuweka chumvi ni katika suala zima la diffusion, kwamba unaongeza concentratio ya chumvi ndani ya tank inayasababisha maji ya-flow kuelekea sehemu ambayo ina concentration ndogo ya chumvi. Watoto watakuambia kuhusu flow of fluid from high to low concentration through a semipermeable membrane. Ndicho kjnachofanyika ukiweka chumi nyingi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…