DA HUSTLA
JF-Expert Member
- Mar 5, 2012
- 3,704
- 3,942
Vipi ulifanikiwa hii?Tuwasiliane ifikapo Tarehe 01/ 03/ 2019, Je kwanini iwe hiyo tarehe?? , Nina sababu.
Ndio yawezekana ukapata zaidi ya 200,000 kila wiki.
Vipi ulifanikiwa hii?Tuwasiliane ifikapo Tarehe 01/ 03/ 2019, Je kwanini iwe hiyo tarehe?? , Nina sababu.
Ndio yawezekana ukapata zaidi ya 200,000 kila wiki.
Namashaur aje TUSUKE odds yaan TUBET KULIKO AKATRADE FOREXMkuu Usije ukashawishika Kubeti au Kutrade Forex Kaa mbali kabisa na Hizo Mambo
Sent from my iPhone using JamiiForums
Such an humble request.Wakuu!
Wasalaam!
najua kuna magreat thinker hapa, wanao uwezo wa kunishauri vyema,
Ni Hivi kutokana na sababu ambazo siwezi kuzielezea hapa kiundani, nimejikuta kwamba kama nisipokuwa na uwezo wa kuzalisha angalau 175,000 au approximately laki mbili kwa wiki, yaani wastani wa shillingi laki nane hivi kwa mwezi nje ya mshahara basi hesabu zangu za kujikwamua zitachelewa,
Ni HESABU ZA Kujikwamua kimaisha, sio kutoka, yaani namaanisha kufanya hivi ni lazima ili nijikwamue, kisha nikishajikwamua ndo nianze kupiga mahesabu ya kutoka kimaisha
Nina uwezo wa kuinject any amount kama capital lakini isizidi million 1. na sio lazima hizo return ziwe za haraka, yaani hata kama return za 200,000 kwa wiki zitaanza baada ya mwezi miezi miwili sio mbaya sana, cha muhimu ni kuwa within a period of six month from today, na kuendelea had miaka 6-7 mbele, ninapaswa kuwa na mradi nje ya mshahara unaoniingizia atleast 200,000 kwa wiki, na mradi huo usinigharimu zaid ya million kama mradi sasa, uwezo wa kuusimamia mimi pysicaly ni ijumaa, jumamosi na jumapili, lakini naweza weka mtu naemuamini, ninao few of them ambao wanaweza lipwa na mradi huo huo.
Naombeni sana mawazo weyu, wakuu, hali ya baba wa taifa sio nzuri, Huwa nakuwa mjanja mjanja sana kwenye hayo mambo ila hadi nimekuja hapa tambua nahitaji mawazo yako chanja
so kabla hauja fikiria kupuuzia, au kujibu upuuzi na kejeli au kuchukulia poa, jaribu kuvaa viatu vyangu japo hauvion vizuri kisha unijibu.
Asante
unajua abiria wanaipendea nn boxer?Mzee nilikutana na haojue hii hapa Mwanza ata Boxer inasubiri
View attachment 1584423
Hapana Mkuu nifumbue macho !unajua abiria wanaipendea nn boxer?
sehemu kubwa ya seat ya pkpk ya boxer n sponge.na wateja weng wa boda boda n wadada. kwa hyo vile akikaa kwny ile sponge afu akajibinua matako ndo anaona waaaooooh!!! lakn hz slg,haogue,t-better n.k haznaga sponji kama ya boxer kiufupi zmetengenezwa kubeba mizigo.Hapana Mkuu nifumbue macho !
Nunua Pikipiki mkuu Ifanye kuwa Boda boda kwa siku kipande Elfu 10 kwa wiki Elfu 70 mkuu Ukiwa nazo hata 2 sio mbaya Boda boda inalipa
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ntapata boda kwa Million 1? mkuu
Zipo biashara za kupata laki 2 kwa wiki lkn sio kwa mtaji wa m 1..
Na ukilazimisha saana basi hela yako itapotea huku unaiona,,,.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu tangazo refu plus linaboaBIASHARA IPI UFANYE??
Watu wengi sasahivi wamekuwa wakitafuta kuwa ni biashara gani afanye ili kujiingizia kipato katika maisha yake
wengine wameamua kuuza nguo nawengine biashara ya duka
pia wengine wameamua kuuza vyakula mfano butcher
SWALI KUBWA LA KUJIULIZA NI BIASHARA IPI NI NZURI NA INAHITAJI MTAJI MDOGO???
JIBU:biashara ambayo inaweza kukupatia kipato ni ile iliyo na uwezo wa kutatua matatizo ya watu
Ahaaa kumbe ukitafuta tatizo ambalo linawasumbua watu wengi ndipo ambapo unaweza pata pesa
Na hakuna sehemu nzuri ya kupata pesa nyingi kama kupitia kutatua matatizo ya afya, kutatua matatizo hayo sio mpaka uwe umesoma ila unaweza jifunza na ukafahamu na ukamsaidia mtu
KONA HIZO AMBAZO PESA NYINGI HUPATIKANA NI
1.MAGONJWA YA MFUMO WA UZAZI
Hii nikwa mwanamme au mwanamke unaweza jikita katika pande zote mfano wanaume wanasumbuliwa na matatizo ya
UUME KUWA LEGELEGE,TEZI DUME,UUME KUTOSIMAMA VIZURI .,MADHARA YA PUNYETO
Upande wa wanawake wanasumbuliwa na matatizo kama
MAJI KWENYE MAYAI,FANGASI,SHINGO YA KIZAZI
Hivyo unatafuta dawa ambazo zinauwezo wa kutibu tatizo hilo na unajitangaza kwamba wewe ni mtaalamu wa kutibu matatizo hayo hapa ndipo unaweza tafuta kampuni ambalo dawa zake ni imara na ambalo utajiunga kwa bei rahisi ili uwe member
Pesa utapata maana utanunua katika kampuni kwa bei rahisi
na wewe ndio utapanga bei ya kuuza dawa yako na nakushauri ni vyema ukajiunga na kampuni la BF SUMA maana utajiunga kwa sh.40000 tu na utakuwa member na utanunua kwa bei ya punguzo
2.MAGONJWA YA KISUKARI
Magonjwa haya yamekuwa sugu na watu wametumia madawa ya hospitali bila mafanikio
unaweza jitangaza kuwa wewe unauwezo wa kutibu tatizo hilo na hivyo watu kukufata na kuwapa huduma yako
Kwavile utakuwa umejiunga na kampuni kwa sh,40000 tu basi utachukua dawa kwa bei rahisi na wewe utauza kwa bei unayoitaka na mgonjwa wako atapona
3.MAGONJWA YA VITAMBI
Unaweza jitangaza na kujibrand wewe kuwa unauwezo wa kutibu watu wenye vitambi, na hivyo watu wakikufata utawahudumia kwa kuwapa dawa za kampuni la BF SUMA maana utakuwa umejiunga na hivyo kwakua linanguvu hivyo mgonjwa wako atapona na hivyo utapata faida maana bei unapanga wewe
4.MAGONJWA YA MENO PAMOJA NA MACHO
Pia unaweza kuisaidia jamii yako kutibu tatizo la macho na meno kutokana na dawa utakazo wapa za kampuni
kwa vile zina nguvu watu watakupenda na utapata wateja wengi sana
5.VIDONDA VYA TUMBO PAMOJA NA MATATIZO YA TUMBO
Pia unaweza saidia jamii yako kutatua tatizo la vidonda vya tumbo kupitia dawa za kampuni lako la BF SUMA
6.NGOZI MA NYWELE
Pia unaweza isaidia jamii kupitia matatizo kama hayo
na kuwafanya watu wapendeze sana
hapa utawashika wote wanaume kwa wanawake
JINSI YA KUPATA WATEJA
Vijana wengi wamekuwa wakijiunga katika kampuni bila kujua wanaenda kufanya nini hivyo ni vyema kama ukachagua kitu kimoja cha kutatia katika jamii yako hii haijarishi wewe ni mwanafunzi au mfanya kazi unaweza fanya
Ukitumia vizuri mtandao wa facebook utapata wateja wengi sana sana sana
JINSI YA KUFANYA FACEBOOK
Kamwe usipost bidhaa za kampuni lako ila jikite kutoa mafunzo juu ya hicho ambacho umeamua kukifanya
Harafu tengeneza group la whatsapp katika simu yako harafu andika tangazo facebook kuwa wewe unauwezo wa kutatua tatizo flani na kopi link ya group lako la whatsapp libandike kwenye tangazo lako
Hivyo kila atakae gusa link ataingia kwenye group lako na hapo ndipo utaweza uza sana sana
Ili kupata wateja wengi unaweza lipia tangazo lako na facebook ikakutangazia kwa watu wengi zaidi unaweza toa kama dolla 5 ambayo ni kama sh10000 tu na wakakutangazia kwa watu kama 20000 ambao unawataka wewe
BAADA YA KUJUA KUWA UNAJIUNGA NA KAMPUNI KUFANYA NINI BASI VIZURI
JINSI YA KUJIUNGA NA KAMPUNI YA BF BF Suma
Kampuni hili kwa upande wangu ni kati ya kampuni bora sana maana unatumia ada kidogo kujiunga kama sh.40000 tofauti na makampini mengine yote ambayo hutumia mpaka sh.500000
Bidhaa zake hazina kemikali na zina bei ya chini sana kila mtu anaweza nunua kwa urahisi itakufanya upate pesa sana rafiki
Bidhaa zake hazijachanganywa na mafuta ya nguruwe
1.uwe na majina matatu
2.uwe na email yako
3.namba yako ya simu
UNAHITAJIKA KUWA NA MLITHI
HUYU ATARITHI BIASHARA YAKO KAMA UKIFA
AWE NA VITU VIFUATAVYO
1.majina matatu
2.email
3.namba ya simu
NANI ANAKUUNGA KATIKA KAMPUNI LA BF SUMA?
Mimi ndie ntakuunga na kampuni na tutafanya kazi kwa ushirikiano
USIHOFU:maduka ya kampuni yanapatikana karibu mikoa yote sasa hapa TANZANIA
KAMA WEWE UNAHITAJI KUBADILI MAISHA YAKO
TUWASILIANE KUPITIA NAMBA
0769601703
PIA NAPATIKANA WHATSAPP
AHSANTE SANA
TSH. 46,000 TU UTAJIRIKE
Aise aise FOREX sio kwa watu wanaotaka pesa haraka, kwanza uingie darasani haswa, uvumilivu, juhudi sana plus harasa mara kadhaa kabla ya kupata faida kiduchuuu ya mwanzo.TRADE FOREX
Mama kifusi, wali mwingi kama kifusi aisee😘Mama kifusi.....sio kifurushi
Those days!