Ni wiki tatu tangu nifanyiwe tohara. Kwa mara ya kwanza nimeshiriki tendo kwa siku mbili bila kumaliza

Nov 14, 2023
5
66
Kwa sababu zilizokuwa nje ya uwezo wangu, nilichelewa kufanya tohara,

Ni wiki tatu sasa tangu nifanye tohara, na kwa mara ya kwanza nimeshiriki tendo kwa siku mbili bila kumaliza.

Yaani siku ya kwanza, nafanya hadi nachoka,simalizi

Siku ya pili pia nafanya hadi nachoka, simalizi.

Je nini inaweza ikawa ni tatizo?

Je au nimefanya ngono mapema sana baada ya tohara?

Je nifanye nini au nitumie nini ili nifike mwisho wa tendo?

Je kuna mtu aliwahi kutana na kazia hii,ulifanyaje?

Naomba msaada wa ushauri

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Kwa sababu zilizokuwa nje ya uwezo wangu nilichelewa kufanya tohara.

Ni wiki tatu sasa tangu nifanye tohara.

Siku zilipita nilishiriki tendo,lakini sikufanikiwa kumaliza kwa siku zote mbili mfululizo.

Yaani siku ya kwanza,nafanya hadi nachoka bila kufika mwisho.

Siku ya pili tena,nafanya hadi namaliza bila kufika mwisho.

Naoma msaada wa ushauri:

Je, nimefanya ngono mapema sana baada ya tohara?

Je,itakuwa ni tatizo?

Je,nifanye nini ili nimalize tendo?

Nimepata wasi wasi

Usikhofu mambo yatakua safi hapo mbeleni, maana hapo kwenye uume wako bado kuna ganzi uliyodungwa wakati wa tohara.
 
Back
Top Bottom