Eyume Dedu
Member
- May 28, 2021
- 68
- 42
- Thread starter
-
- #21
Hakuna kingine apart na elimu?Biashara itakayokufaa ni ya service, hizo zingine zinakuhitaji uwepo kila mda, kwa sababu service kama education kila term unamoniter ada kwenye akaunti, kilimo kinahitaji uwepo karibu
Kwa kutumia TEHEMA huitaji kuwa na ghala la kuhifadhi. Kinachotakiwa ni kufanya "market survey" ya wakulima/walanguzi na wauza rejareja. Ukipata wa kutosha wewe unawaunganisha kimtandao. Maelezo zaidi tuwasiliane inboxKuna dogo alianzisha kwa mtaji wa laki 3.Mazao sawa yanahitaji uhifadhi pia, kuyasafisha yakae kiwango kulingana na status, hauwezi kutoka nje ya nchi uje uanzishe uuzaji wa mazao, kwanza madalali lazima wakukalishe kwanza biashara ya buy and sell kwa mgeni ni ngumu, kuhusu waalimu, mfano shule ya msingi waalimu wanapata training kila baada ya muda kwa gharama ndogo sana
Sawa mkuu nimekusomaKwa kutumia TEHEMA huitaji kuwa na ghala la kuhifadhi. Kinachotakiwa ni kufanya "market survey" ya wakulima/walanguzi na wauza rejareja. Ukipata wa kutosha wewe unawaunganisha kimtandao. Maelezo zaidi tuwasiliane inbox
Wewe upo interested na nini?Hakuna kingine apart na elimu?
Kwa nikiwa huku nakosa cha kufanya sio kama nikiwa nyumbnWewe upo interested na nini?
😅😅😅😅Kaa hapo Muscat/Salala kwa kutulia kiongozi nimekuwa jirani yako nikafanya uboya ndo nikaipata kisawa sawa kwamba pesa haina ndugu
Hakuna kitu inauma uone dogo ananenepa tu afya inakubali na update za mchongo ni hola 🤣 🤣
Sawa mkuuKaa hapo Muscat/Salala kwa kutulia kiongozi nimekuwa jirani yako nikafanya uboya ndo nikaipata kisawa sawa kwamba pesa haina ndugu
Hakuna kitu inauma uone dogo ananenepa tu afya inakubali na update za mchongo ni hola 🤣 🤣
Kilimo cha simu KIMEUMIZA WENGI SANAA.Ilikuwa ni kilimo cha maharage bibie, yaani nilipigwa chenga ya mwili kana kwamba sikuweza kuambulia chochote.
Shamba halikupandwa, hela ya mbegu ililiwa na hapo taarifa nilikuja kupewa baada msimu kupita...
Imagine mtu umekodi eneo, umelimisha na umetoa hela ya mbegu halafu mwisho wa siku unaambiwa shamba halikupandwa..🤔
Mwisho wa siku ilibidi nimtume mdogo wangu aende kuconfirm. ☹️☹️
So kwenye hiyo betting nikawa nimepigwa namna hiyo.
Namaanisha unapenda nini huku nyumbani ili tuanzie na hobby yakoKwa nikiwa huku nakosa cha kufanya sio kama nikiwa nyumbn
RestaurantsNamaanisha unapenda nini huku nyumbani ili tuanzie na hobby yako
Basi ukiwa huko ujifunze kupika vyakula vizuri, kutengengeneza juice nzuri, badili sehemu za kula kila mara kuangalia wenzio wanauza vipi misosi huduma kwa wateja na vitu kama hivyo.Restaurants
Lengo langu kwenye msosi sitaki vya kigeni nahitaji kupika vyakula vyetu vya asili sabab havipatikani kwa wingi labda kuhusu juice ila hapo nipo vzrBasi ukiwa huko ujifunze kupika vyakula vizuri, kutengengeneza juice nzuri, badili sehemu za kula kila mara kuangalia wenzio wanauza vipi misosi huduma kwa wateja na vitu kama hivyo. Ukikaribia kuja nyumbani unanunua vyombo vizuri juicer na vitu vingine, ukija nyumbani una tafuta chef zanzibar wapo wa kutosha uanatafuta sehemu unalipia unaanza Kazi vyakula bongo bado havikidhi mahitaji ya watu.
Duh watu wana tabia mbaya yaani hata shamba halikupandwa wkt hela mbegu ilitolewa😒, labda ungekua unamwambia akutumie picha ya kila step kupanda, kupalilia , kuvuna nk atleast uwe unajua kafikia wapi. Polee au alikuona gentleman huna makuu? Mi sijui ningemfanyaje aisee ningemng'ata puaIlikuwa ni kilimo cha maharage bibie, yaani nilipigwa chenga ya mwili kana kwamba sikuweza kuambulia chochote.
Shamba halikupandwa, hela ya mbegu ililiwa na hapo taarifa nilikuja kupewa baada msimu kupita...
Imagine mtu umekodi eneo, umelimisha na umetoa hela ya mbegu halafu mwisho wa siku unaambiwa shamba halikupandwa..🤔
Mwisho wa siku ilibidi nimtume mdogo wangu aende kuconfirm. ☹️☹️
So kwenye hiyo betting nikawa nimepigwa namna hiyo.
Watakutumia fake mwizi ni mwizi tuuDuh watu wana tabia mbaya yaani hata shamba halikupandwa wkt hela mbegu ilitolewa😒, labda ungekua unamwambia akutumie picha ya kila step kupanda, kupalilia , kuvuna nk atleast uwe unajua kafikia wapi. Polee au alikuona gentleman huna makuu? Mi sijui ningemfanyaje aisee ningemng'ata pua
Yes anaweza piga picha shamba la jirani akakutumia dah ila si vizuri kabisa🤔😒Watakutumia fake mwizi ni mwizi tuu
Ki ukweli kuna mudq tunajitoa sadaka tupate wote lakini kuna watu hawana wema ndugu yanguYes anaweza piga picha shamba la jirani akakutumia dah ila si vizuri kabisa🤔😒
Hivi hii kitu huwa inafanya kazi kweli?Mkuu, kama una uelewa na mambo ya global financial markets. Wekeza kwenye mambo ya forex trading, stocks and cryptocurrencies. Eneo lako la biashara linakua ni simu na Internet connection tu!