MKWEPA KODI
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 28,700
- 71,122
- Thread starter
- #61
we waue tu wanatisha tu
waue tu mi siwapendi na siwezi kuwaua
Sawa mkuu
we waue tu wanatisha tu
waue tu mi siwapendi na siwezi kuwaua
Hahahahahaha eti hakupi nafasi ya kumshambulia HahahahahahaHujakutana na nyoka weweee, we umekutana na vijinyoka vioga,ukikutana na mlume ndago koboko ndio utakaa mbali na huyo mdudu kwani hakupi nafasi ya kumshambulia, utagongwa n'a utakufa kama kumbikumbi au yanga kwa mnyamaaaa
Kama mimi hao viumbe sina urafiki nao kabisa, na sina ujasiri wa kuwakabili.!Mimi tatizo langu ni lingine sina chuki na Nyoka bali namuogopa, hakuna kiumbe kinaniogopesha kama Nyoka, hata akiwa amekufa nikimuona mwili wote husisimka na kuishiwa nguvu, ni ajabu lkn nina woga wa Nyoka usio na mfano!
Hahahahahaha eti hakupi nafasi ya kumshambulia Hahahahahaha
Mkuu ndiyo maana nawachukia sana nyokaMkuu, huyo mdudu ni Weka mbali na watoto kabisa,hana masihara kabisa,ana uwezo wa Kudondosha ng'ombe hata 100 ndani ya dakika chache sana,huko maporini wamasai wakikutana nao tu ktk harakati zao za litapita malisho wanashika Kichwa tu wanajua shughuli imekwisha,wanatiwa umasikini muda si mrefu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndo inavyotakiwa kati ya binadam na mdudu nyoka, naye pia akikuotea siku utafurahi na roho yako
Mkuu wewe kama mimi tu dahMimi tatizo langu ni lingine sina chuki na Nyoka bali namuogopa, hakuna kiumbe kinaniogopesha kama Nyoka, hata akiwa amekufa nikimuona mwili wote husisimka na kuishiwa nguvu, ni ajabu lkn nina woga wa Nyoka usio na mfano!
Hahahahahahatofauti na wote......mimi mala nyingi nikiwa peke yangu nimekaa mahali au natembea huwa nahisi nyoka yuko pembeni yangu au anapita karibu......nakosa raha kabisa
Hiyo tabia yako ya kupenda kuuwa nyoka iko siku itakutokea puani ni hatari sana......kuna nyoka wa aina nyingi sana......
Kipindi nilipokuwa kijana mdogo nilikuwa na tabia kama hiyo....lakini siku moja niliiacha nilipokutana na nyoka wa aina tofauti....
Tulimkuta nyoka juu ya mti tukaanza kumtupia mawe.....yule alikuwa ni mwembamba na mrefu sana anaweza kufika hata mita saba.....lakini cha ajabu yule alikuwa ni hodari wa kukwepa na jiwe likimpata huwa anafutuka mwili mzima nahisi ilikuwa ni hasira.......yule alifanya jambo la ajabu sana alikuwa ana uwezo wa kuruka na kuufuata mti mwingine kwa style ya kujikunja na kujifyatua.....kilichotusaidia ni kwa kuwa tulikuwa wengi na alikuwa sehemu ya wazi......
Baada ya purukushani kuwa ndipo akatokea mzee akaenda kuchukua upinde maana hapo hapakuwa mbali na kwake.....akaja akamlenga akamuua.....lakini nilipata fundisho kubwa sana tangu siku hiyo....tabia ya kuwaona nyoka na kuanza kuwashambulia sio nzuri hasa ukiwa peke yako....
Dah,
Nyoka alishawahi kuning'ata nikiwa darasa la kwanza network signal zilikata toka jioni ile mpaka ziliporudi kesho yake mchana baada wazee wa tiba asilia kukesha wakifanya yao.
Hakika toka siku nyoka hawakuwahi kukatiza salama na kwa bahati nzuri mzee mmoja (r.i.p) alinipa dawa fulani ambayo pindi nimuonapo nyoka kamwe hawezi kukimbia wala kunishambulia hivyo kazi yangu ya kumuangamiza ilikuwa inachukua muda kidogo na hadi ilifika kipindi baada ya majirani kulijua hilo walikuwa nyoka wakivamiwa majumbani mwao wananifuata na ka- umri kangu kadogo kwenda kumuua.
Wala usijali ni uadui iliyo wekwa na Mungu ivyo usjal na sio ww tuuWakuu habari,
Naomba Ushauri nifanye nini ili kupunguza chuki kubwa niliyonayo dhidi ya nyoka.
Sijawahi kuumwa na nyoka wala watu wa familia yangu hakuna aliyewahi kuumwa na nyoka lakini nina chuki kubwa sana dhidi ya nyoka.
Yaani nikimuona nyoka iwe shambani au nyumbani ni lazima nimuue, hata kama nipo njiani narudi kutoka shamba ikatokea nikamuona nyoka nitamtafuta mpaka nimuue.
Nikiwa naendesha gari ikitokea nyoka akakatisha barabara lazima nihakikishe namkanyaga.
Vitendo vyangu hivi vinanifanya nijihisi mimi ni mtu mkatili sana.
Karibuni kwa mjadala.
Ila pia usjali kuna SKU utajuta kuwafuata fuata ww mpaka unasimamisha gari kumsaka?Wakuu habari,
Naomba Ushauri nifanye nini ili kupunguza chuki kubwa niliyonayo dhidi ya nyoka.
Sijawahi kuumwa na nyoka wala watu wa familia yangu hakuna aliyewahi kuumwa na nyoka lakini nina chuki kubwa sana dhidi ya nyoka.
Yaani nikimuona nyoka iwe shambani au nyumbani ni lazima nimuue, hata kama nipo njiani narudi kutoka shamba ikatokea nikamuona nyoka nitamtafuta mpaka nimuue.
Nikiwa naendesha gari ikitokea nyoka akakatisha barabara lazima nihakikishe namkanyaga.
Vitendo vyangu hivi vinanifanya nijihisi mimi ni mtu mkatili sana.
Karibuni kwa mjadala.
HahahahahahaIla pia usjali kuna SKU utajuta kuwafuata fuata ww mpaka unasimamisha gari kumsaka?