MKWEPA KODI
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 28,700
- 71,122
- Thread starter
- #41
Hahahahahahaha haya mkuu nimeamini Hahahahahahani kweli tupu usidharau
Hahahahahahaha haya mkuu nimeamini Hahahahahahani kweli tupu usidharau
ha haa nasubiri chiefNgoja nimfate anipatie namba yake mkuu, inabidi muwasiliane nae umfanyie maombi ya nguvu
Mkuu naona una hamu sana ya kumuombea huyo binti Hahahahahahaha haa nasubiri chief
Kwakweli mimi nyoka nawaogopa sana, sina urafiki nao kabisa, hata kwenye video sipendi kuona nyokaMimi tatizo langu ni lingine sina chuki na Nyoka bali namuogopa, hakuna kiumbe kinaniogopesha kama Nyoka, hata akiwa amekufa nikimuona mwili wote husisimka na kuishiwa nguvu, ni ajabu lkn nina woga wa Nyoka usio na mfano!
Kwani wewe ndiwe uliyeweka uadui na chuki na nyoko dhidi yako?? Kama vipi jiunge Freemason au kuwa mganga!Wakuu habari,
Naomba Ushauri nifanye nini ili kupunguza chuki kubwa niliyonayo dhidi ya nyoka.
Sijawahi kuumwa na nyoka wala watu wa familia yangu hakuna aliyewahi kuumwa na nyoka lakini nina chuki kubwa sana dhidi ya nyoka.
Yaani nikimuona nyoka iwe shambani au nyumbani ni lazima nimuue, hata kama nipo njiani narudi kutoka shamba ikatokea nikamuona nyoka nitamtafuta mpaka nimuue.
Nikiwa naendesha gari ikitokea nyoka akakatisha barabara lazima nihakikishe namkanyaga.
Vitendo vyangu hivi vinanifanya nijihisi mimi ni mtu mkatili sana.
Karibuni kwa mjadala.
Uadui uliwekwa na Mungu baada ya hawa na adamu kula lile tunda walilokatazwa na MunguKwani wewe ndiwe uliyeweka uadui na chuki na nyoko dhidi yako?? Kama vipi jiunge Freemason au kuwa mganga!
Wewe kama mimi mkuu,hakuna mdudu namuogopa kama nyoka nikimuona mwili unasisimka na unaishiwa nguvu,na hiyo taswira inakaa kichwani wiki nzima mwili unasisimka nikikumbuka! Na hali hii hunitokea pia nikiumwa na sungusungu mwili unasisimka hata nikiwa usingiziniMimi tatizo langu ni lingine sina chuki na Nyoka bali namuogopa, hakuna kiumbe kinaniogopesha kama Nyoka, hata akiwa amekufa nikimuona mwili wote husisimka na kuishiwa nguvu, ni ajabu lkn nina woga wa Nyoka usio na mfano!
Nashukuru kwa ushauriKila mtu ana kifo chake sasa angalia nyoka asije sababisha siku unataka kumkanyaga na gari ndio utagongana na lorry
Naomba Ushauri nifanye nini ili kupunguza chuki kubwa niliyonayo dhidi ya nyoka.
MWANZO 3: ...Ndo inavyotakiwa kati ya binadam na mdudu nyoka, naye pia akikuotea siku utafurahi na roho yako
MWANZO 3: ...
14. Bwana Mungu akamwambia nyoka, Kwa sababu umeyafanya hayo, umelaaniwa wewe kuliko wanyama wote, na kuliko hayawani wote walioko mwituni; kwa tumbo utakwenda, na mavumbi utakula siku zote za maisha yako;
15. nami nitaweka uadui kati yako na huyo mwanamke, na kati ya uzao wako na uzao wake; huo utakuponda kichwa, na wewe utamponda kisigino.
Toa taarifa kwenye ofisi ya wanyamapori iliyo karibu naweKuna nyoka huku kwetu naomba namba zako uje kumuua.
waue tu mi siwapendi na siwezi kuwauaKumbe nitaendelea kuwaua tu maana ni agizo la Mungu
Mkuu wewe tumefanana.Mimi tatizo langu ni lingine sina chuki na Nyoka bali namuogopa, hakuna kiumbe kinaniogopesha kama Nyoka, hata akiwa amekufa nikimuona mwili wote husisimka na kuishiwa nguvu, ni ajabu lkn nina woga wa Nyoka usio na mfano!
Haaa aaa haInabidi ufumfuge nyumbani kwako, Hamna namna