Nifanye nini ili kupunguza chuki yangu dhidi ya nyoka?

Nifanye nini ili kupunguza chuki yangu dhidi ya nyoka?

Wakuu habari,

Naomba Ushauri nifanye nini ili kupunguza chuki kubwa niliyonayo dhidi ya nyoka.

Sijawahi kuumwa na nyoka wala watu wa familia yangu hakuna aliyewahi kuumwa na nyoka lakini nina chuki kubwa sana dhidi ya nyoka.

Yaani nikimuona nyoka iwe shambani au nyumbani ni lazima nimuue, hata kama nipo njiani narudi kutoka shamba ikatokea nikamuona nyoka nitamtafuta mpaka nimuue.

Nikiwa naendesha gari ikitokea nyoka akakatisha barabara lazima nihakikishe namkanyaga.

Vitendo vyangu hivi vinanifanya nijihisi mimi ni mtu mkatili sana.

Karibuni kwa mjadala.
Hata yule mwenye makengeza? [emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
 
Nishatoka berega moro kwenda Sehemu moja panaitwa idibo huko muda wa safari yote nyoka
Alikuwa amejizungusha chini ya chases chini ya garii.....jufika kushuka tu tunashangaa. Kitu Hicho kinatokaaa n'a kutokomeaa Porini ah tukaachana naye akajitafutie maisha....

Ingine hyo tuki kilosa kamp tumelala ndani ya hema asubuhi saa 12 klza Mmja ndani anatuambia wakati nmelala Nlikuwa natekenywa wazee tukamwambia tulia hvyo hvyo kufungua pembeni ya godoro nyoka huyo kama wa ft 2 Hvi kajikunyata ubaridi .....ila angekuwa koboko mziki tungeuona

Ova
 
Hujakutana na nyoka wew.. Sema vijinyokaaa..!! Yani nyoka kapitaa kaenda zake unarudi kumtafutaa.. Labda sio black mambaa..[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kwa hiyo unanishauri nini mkuu kwamba nikimuona nyoka nyumbani kwangu nimuache tu
Nyoka hawezi kuuma kama hujamkanyaga au kumtisha. Nyoka ana aibu sana na hana macho ya kuona ila ana ile hali ya kuona kitu chenye uhai ambacho anaona kama damu ina flow. Nyoka hawezi kukugonga wewe sababu hawezi kukumeza. Ukimkanyaga mara nyingi huwa anatoa false venormon ila akiona umemkanyaga zaidi ndo anakuwekea ile yenyewe.
Nyoka wale wa shambani hasa wale wa kijani huwa sumu yao ndogo ila kuna green mamba ambao ni hatari lakini nyoka wenye sumu wengi huwa wanakaa mbali na viumbe vikubwa. Ukimwona nyoka wa kijani shambani mwako mwache anakusaidia kula panya. Ukimwona black mamba mwache aende zake. Kifutu huwa wanakwenda polepole hivyo mwache aende. Usiue nyoka. Nilikaa na nyoka chumbani mwangu akazee watoto wengi wakaanza kusambaa mpaka nje. Siku nilipohisi kuna kitu kinatambaa kwenye floor, kuangalia nyoka! Nilipiga kelele. Wapangaji wenzangu walikuja wakataka kumuua nikawakataza nikasema huyu nyoka kazalia kwangu na mimi nina mtoto mchanga je si angetuua? Nilimwachia nyoka akaenda ila nilimwomba mwenye nyumba kuziba sehemu alikokuwa akipitia. That was in 1986 in Moro. Yule nyoka alikuwa akionekana mara nyingi. Black Mamba watu wakaniita mchawi ila sijui kilichoendelea sababu I left for my college after that. Usiue kitu kama hukihitaji kwa chakula. Sometimes siyo lazima kuua hata kwa chakula.
 
Yaani hata nikimuona nyumbani kwangu halafu akakimbilia nyumba ya jirani nitamfuata hukohuko na kuhakikisha namuua, hii kweli sio kawaida
naishi Mbezi ya makabe..."" majuzi nilimkuta sebuleni kwangu"" lakini sikumuua"" aliponiona tu akatoka nje"" kupitia kwenye upenyo wa mlango kwa chini "" nikaeneo finyu awali nilikuwa sijawahi fikiria kama kanaweza pitisha nyoka....binafsi tangu niwe na akili timamu "" sipndi kabisa ...kukiuwa kiumbe kama hakija taka kunidhuru'" nikukidhulumu haki yake ya msingi ya kuishi """
 
Ophidiophobia or ophiophobia is a particular type of specific phobia, the abnormal fear of snakes. It is sometimes called by a more general term, herpetophobia, fear of reptiles or amphibians. The word comes from the Greek words "ophis" which refers to snake, and "phobia" meaning fear.

Care must also be taken to differentiate people who do not like snakes or fear them for their venom or the inherent danger involved. An ophidiophobe not only fears them when in live contact but also dreads to think about them or even see them in video or still pictures.

About a third of adult humans are ophidiophobic, making this the most common reported phobia. Scientists have theorized that mammals may have an innate reaction to snakes, which was vital for their survival as it allowed such dangerous threats to be identified immediately.

Source: wikipedia
 
Kuna binti mmoja yeye anaogopa paka! Yani tulikuwa tumekaa nae sehem alivoona paka tu akaacha na kula kabisa ikabidi niondoke nae tu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom