msaada tafadhali, nampenda kwa dhati na sipendi kumuumiza ila nina mke japo nampenda sana nifanyaje?
Mwandikie msg sasa hivi umwambie "Nakupenda kwa dhati, na sipendi kukuumiza. Ila nina mke na ninampenda sana. Unasemaje?"
Then tuma post hapa yeye amejibuje, tutakushauri zaidi jinsi ya kumwambia...
Yaani ulivyoandika, nikapata picha ndio mimi napata msg ya namna hiyo kutoka kwa mwanaume ambaye nampenda na ambaye sijui kama ana mke..! Nita kolapsi hakyanani... Inaumiza sana!!
Halafu utamjibuje?
msaada tafadhali, nampenda kwa dhati na sipendi kumuumiza ila nina mke japo nampenda sana nifanyaje?[/QUOTE watu8 will yu please help me here!
i really need yu hapa!mi naondoka i hope nikirudi utakuwa umeshado ze nidful!
Nikishazinduka baada ya kukolapsi.. Nitamwambia basi aendelee na mke wake..!!
Mie kutembea na mwanaume wa mtu siwezi..!! Huo ndio utakuwa mwisho wetu kwa kweli..!!
Huwezi au hujawahi?
Nikishazinduka baada ya kukolapsi.. Nitamwambia basi aendelee na mke wake..!!
Mie kutembea na mwanaume wa mtu siwezi..!! Huo ndio utakuwa mwisho wetu kwa kweli..!!
watu8 will yu please help me here!msaada tafadhali, nampenda kwa dhati na sipendi kumuumiza ila nina mke japo nampenda sana nifanyaje?