Nifanyaje

mangimeza

Senior Member
May 13, 2011
190
98
msaada tafadhali, nampenda kwa dhati na sipendi kumuumiza ila nina mke japo nampenda sana nifanyaje?
 
Mwandikie msg sasa hivi umwambie "Nakupenda kwa dhati, na sipendi kukuumiza. Ila nina mke na ninampenda sana. Unasemaje?"
Then tuma post hapa yeye amejibuje, tutakushauri zaidi jinsi ya kumwambia...

Yaani ulivyoandika, nikapata picha ndio mimi napata msg ya namna hiyo kutoka kwa mwanaume ambaye nampenda na ambaye sijui kama ana mke..! Nita kolapsi hakyanani... Inaumiza sana!!
 
Yaani ulivyoandika, nikapata picha ndio mimi napata msg ya namna hiyo kutoka kwa mwanaume ambaye nampenda na ambaye sijui kama ana mke..! Nita kolapsi hakyanani... Inaumiza sana!!

Halafu utamjibuje?
 
msaada tafadhali, nampenda kwa dhati na sipendi kumuumiza ila nina mke japo nampenda sana nifanyaje?[/QUOTE watu8 will yu please help me here!
i really need yu hapa!mi naondoka i hope nikirudi utakuwa umeshado ze nidful!
 
Last edited by a moderator:
Nikishazinduka baada ya kukolapsi.. Nitamwambia basi aendelee na mke wake..!!

Mie kutembea na mwanaume wa mtu siwezi..!! Huo ndio utakuwa mwisho wetu kwa kweli..!!

Huwezi au hujawahi?
 
hivi kumbe kuna kupenda marambili mkeo ndani unampenda kimada nje unampenda,hebu tofautisha kati ya rights and interest ukitoka hapo jiulize love and affection ni nini na nani kati ya hao anatakiwa avipate?nitarudi baadae
 
Usiendelee kumuumiza, let her go. Kuna wanaompenda kwa Dhati lkn unawazibia wewe ambaye huwezi kuwa naye.

So prove that you love her by letting her go.
 
Nikishazinduka baada ya kukolapsi.. Nitamwambia basi aendelee na mke wake..!!

Mie kutembea na mwanaume wa mtu siwezi..!! Huo ndio utakuwa mwisho wetu kwa kweli..!!

hapo kwenye red, mabinti wa namna hii huwa ndo mabingwa wa kutembea na wanaume za watu huanza kwa kusema siwezi siwezi mwisho wa siku mambo yanaendelea,
 
msaada tafadhali, nampenda kwa dhati na sipendi kumuumiza ila nina mke japo nampenda sana nifanyaje?
watu8 will yu please help me here!
i really need yu hapa!mi naondoka i hope nikirudi utakuwa umeshado ze nidful!

hahaha nimekuja mtani...unajua jana yote sikupita kipande hii....ila nadhani nimechelewa wengine washatoa ya kutoa yatamfaa pia
 
Last edited by a moderator:
msaada tafadhali, nampenda kwa dhati na sipendi kumuumiza ila nina mke japo nampenda sana nifanyaje?

wewe mwanaizaya una jinsia mbili za kiume mpaka uhangaike na wanawake wawili?
Mungu kakupa hilo dushelele moja ili ufanyane na mkeo tu wewe unaanza kuhangaika kulitembeza kwa wanawake wengine...
 
Back
Top Bottom