Nahisi amenipendea hela zangu au yupo kwangu kwaajili ya manufaa yake binafsi haswa kiuchumi

achiiachii

Member
Sep 11, 2022
48
195
Mimi ni mwanamke age 30 nina biashara zangu kubwa kidogo zinaingiza mpunga kwa siku sikosi faida ndogo kabisa laki tatu nina mtoto mmoja inshort ni singo mom.

Sasa katika harakati za baishara nilikutana na mkaka mmoja hivi yeye ameoa ndoa ya kanisani na Ana mtoto mmoja. Tulianza kama marafiki baadaye tukawa wapenzi kweli nilimpenda japo najua Ana mke so nilikuwa makini kiukweli mimi nilikuwa nahitaji mwanaume wa kujenga naye familia kama nitazaa basi watoto wanaofata baba yao awe mmoja nilimuelezea akasema sawa tutaishi pamoja yaan atakuwa na wake wawili ilo nilipinga kidogo kwasababu yeye ni mkristo.

Ila sasa naona mwenzangu yupo na mimi kwaajili ya manufaa yake binafsi kutwa kuniomba hela , mara nikopeshe mara ninunulie kile najikuta natumia hela nyingi kwaajili yake mpaka nimejisahau kilichofanya nishtuke zaidi ananiomba Nimpe 8ml anunue kiwanja ajenge akae na mke wake alafu atanilipa taratibu hapo akili ikanicheza nikiwa naye anaongea na mke wake miradi hii mara ile anamtumia mke wake pesa ila akiwa na mimi kila kitu hela natoa mimi hadi nauli ya mwendokasi.

Hapa nawaza nimuachaje kiukweli nampenda ila nahisi sio mtu sahihi nifanyaje nimuepuke
 
Mbona unafeli sana mwanamke mwenzangu.....huyo ni kausha damu wa kiume...Kakuona mjinga sana
 
tea_mobama-_012515064953.jpg
 
Hama unapoishi haraka na usimpe taarifa... toa taarifa kwenye vituo vyako vya biashara kwamba huyo mtu asikanyage hapo na waambie watu wako wa karibu wakupe security mapema hasa vijana wa kwenye biashara zako ili asije kukuwinda akakufanyia jambo baya... kisha block kila sehemu
 
Mimi ni mwanamke age 30 nina biashara zangu kubwa kidogo zinaingiza mpunga kwa siku sikosi faida ndogo kabisa laki tatu nina mtoto mmoja inshort ni singo mom.

Sasa katika harakati za baishara nilikutana na mkaka mmoja hivi yeye ameoa ndoa ya kanisani na Ana mtoto mmoja. Tulianza kama marafiki baadaye tukawa wapenzi kweli nilimpenda japo najua Ana mke so nilikuwa makini kiukweli mimi nilikuwa nahitaji mwanaume wa kujenga naye familia kama nitazaa basi watoto wanaofata baba yao awe mmoja nilimuelezea akasema sawa tutaishi pamoja yaan atakuwa na wake wawili ilo nilipinga kidogo kwasababu yeye ni mkristo.

Ila sasa naona mwenzangu yupo na mimi kwaajili ya manufaa yake binafsi kutwa kuniomba hela , mara nikopeshe mara ninunulie kile najikuta natumia hela nyingi kwaajili yake mpaka nimejisahau kilichofanya nishtuke zaidi ananiomba Nimpe 8ml anunue kiwanja ajenge akae na mke wake alafu atanilipa taratibu hapo akili ikanicheza nikiwa naye anaongea na mke wake miradi hii mara ile anamtumia mke wake pesa ila akiwa na mimi kila kitu hela natoa mimi hadi nauli ya mwendokasi.

Hapa nawaza nimuachaje kiukweli nampenda ila nahisi sio mtu sahihi nifanyaje nimuepuke
images (8).jpeg
 
Back
Top Bottom