Nifanyaje

Piga moyo konde umwambie ukwel na uachane nae kabisaa,kwan unampotezea mda 2 dada wa watu kitu ambacho sio kizuri.
 
Usiendelee kumuumiza, let her go. Kuna wanaompenda kwa Dhati lkn unawazibia wewe ambaye huwezi kuwa naye.

So prove that you love her by letting her go.

Well said

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kwi kwiiiiiiiii
Watu 8 umeitwa ndo umekuja na comment kavu namna hyo kaaa!

Msaidien mwenzenu ana shida ya positive advice lol.. Msitupe sana mawe inaweza isimsaidie.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Wana jamvi ushauri nimeupata nimemwachia mwingine na sasa ni muke ya mutu
 
Back
Top Bottom