Nifanyaje

msaada tafadhali, nampenda kwa dhati na sipendi kumuumiza ila nina mke japo nampenda sana nifanyaje?

mwambie ukweli tuu kuwa una mke...na bliv me utashangaa bado atakutaka muendelee kugegedana...wanawake akili zao wanajua wenyewe
 
wewe mwanaizaya una jinsia mbili za kiume mpaka uhangaike na wanawake wawili?
Mungu kakupa hilo dushelele moja ili ufanyane na mkeo tu wewe unaanza kuhangaika kulitembeza kwa wanawake wengine...

aliyekuita,hakukosea lol!@ watu8
 
Last edited by a moderator:
Kuna wanaume wana matatizo kweli.Kwa hiyo hutaki kumuumiza kimada ila mke akiumia sawa tu!
 
mwambie ukweli tuu kuwa una mke...na bliv me utashangaa bado atakutaka muendelee kugegedana...wanawake akili zao wanajua wenyewe
Kwani nyie wanaume akili zenu ndiyo ziko perfect, Mbona unakuwa unafahamu kabisa ni mke wa mtu bado unakuta unamsarandia???
 
we ona raha saiv,,, effect zake baadaye ni kubwa,,, chagua na baki na mmoja tu. mtandao wa nini bhana?
 
He!!! Kumbe mleta hoja ni mwanaume,mbona avatar yako umeweka picha ya mrembo au ndiye huyo unayemuongelea umeamua kuweka msisitizo?
 
Mawili hapo, achana naye...au ongeza mke...usipo fanya hayo utaishia kuzini :biggrin1:
 
hapo kwenye red, mabinti wa namna hii huwa ndo mabingwa wa kutembea na wanaume za watu huanza kwa kusema siwezi siwezi mwisho wa siku mambo yanaendelea,

Endelea kuamini unacho amini..! Ila mimi SIWEZI..!!

Na ninamaanisha ninacho kiongea..!!
 
funga nae ndoa km dini yako inaruhusu,km hairuhusu mwache usizidi kumpotezea muda.
 
Siongei kutoka hewani ndugu yangu, Nilishakutana na ishu inayofanana na hiyo..!

Hata mi naongea kitu ambacho nina experience kubwa sana nacho Neylu... Wengi wanaofanya hivyo, miaka au hata miezi kadhaa iliyopita hawakuwahi kudhani kuna siku wangefanya hivyo...
 
Hata mi naongea kitu ambacho nina experience kubwa sana nacho Neylu... Wengi wanaofanya hivyo, miaka au hata miezi kadhaa iliyopita hawakuwahi kudhani kuna siku wangefanya hivyo...

Haya Kaka sitaki kubishana na hiyo experience yako..!!

Ila kwa mimi kama Neylu, baada ya kujua jamaa ameoa..

Nikapiga chini JUMLAAAA..!! Ila naomba nikubali kwamba binadamu tunatofautiana..!!

Uamuzi atakaoutoa Neylu baada ya kujua kama jamaa ana mke, ni tofauti na uamuzi atakao utoa Mary..!!

Hapo nilikuwa najiongelea kwa upande wangu...!!!
 
wewe mwanaizaya una jinsia mbili za kiume mpaka uhangaike na wanawake wawili?
Mungu kakupa hilo dushelele moja ili ufanyane na mkeo tu wewe unaanza kuhangaika kulitembeza kwa wanawake wengine...

Asante kwa ushauri japo hujaniambia majirani wanaoa wake wanne je wana dushelele nne???
 
Back
Top Bottom