Nifanyaje ili nisipende sana, naomba ushauri

Mm ktk kutendwa nimetendwa xna, imefikia tme sihitaji any relation yyte, nasubiri nn kipo mbele yangu
 
Asante Womanity nafarijika kuona kuna mwenzangu ambae nikiongea ananielewa. Issue kubwa sio tu niwe na mtu but ni enjoy hiyo relationship

Yeah naelewa...it is inexpressible kwa kweli..Mungu akutie nguvu..i know how much you feel.
 
NANDERA
Asante dada kwa ushauri wako wenye kina nitaufanyia kazi maana naamini unafaida kwangu
 
Last edited by a moderator:
Nominomi
Unadhani mchepuko ndio hautakuumiza? Tafuta mchepuko kwa vile umeamua kuutafuta ila sio kwa sababu wataka punguza maumivu ya mapenzi. unaweza ishia kupata double maumivu.

Chunga sana
 
Last edited by a moderator:
Nominomi
mmh! umesema huyu uliye nae unakomaa nae uone itakuwaje? Waswazi wanasema "mkanye akirudi", na wazungu wanasema the est person is one who does the same thing thrice in the same circumstances and expect a different result.

Unless kama yeye ni tofauti na hao wengine. Afterall, kipya kinyemi.

Ila angekuwa tofauti sidhani kama ungekuwa hapa MMU.
 
Last edited by a moderator:
Huwa si panic ila inauma unapokuwa wewe tu ndio umkumbuke mwenzio hata siku 5 zaweza pita asishtuke. Mpaka nilishafikiria nitafute mchepuko ili nisimuwaze sana

Shituka huyo siyo kabisa
 
NANDERA
Ni kweli yuko tofauti kiasi ila hanionyeshi kunipenda kama nilivyotarajia, ndio nikajistukia kuwa inawezekana mimi naendekeza kupenda sana.
 
Last edited by a moderator:
The Boss,

kwa hawa wa kizazi hizi ni ngumu kujua kwani wao macho yao yanaangalia pochi na uehandsome.
 
Last edited by a moderator:
mito

Hapana kaka unakosea si kila mtu anaabudu pesa maana naamini zinatafutwa. Napia kila mmoja ni beautiful na handsome kwa mwenye kumpenda so hiyo sio hoja.
 
Last edited by a moderator:
NANDERA
Shida ya wadada wanasililiza sana mioyo yao. Kwa kujua udhaifu huu wa asili ndo maana wa zamani walikuwa wanachaguliwa, sasa wa siku hizi wanaochagua wenyewe tu wanachagua maboya!!

Niliwahi kuwapa siri ya kuchagua mwenza humu wakanibeza wee nikanyamaza, lakini kila siku kwa kwenda mbele. Niliwahi kuwaambia usipende kuchangua mwanaume ambaye unamfeel sana .

Kwa sababu ukiona unamfeel sana ujue yeye hakufeel kivile. Ktk hatua za awali upendo hauwezi kulingana hata siku moja. Niliowasaidia mbinu hii wakaifuata hawajawahi kujuta. Wee Nominomi chukua hii ikusaidie ooho!!!
 
Last edited by a moderator:
Hapana kaka unakosea si kila mtu anaabudu pesa maana naamini zinatafutwa. Napia kila mmoja ni beautiful na handsome kwa mwenye kumpenda so hiyo sio hoja.

siyo kweli, kuna watu ni maehandsome kwa wote, hiyo ya kusema beauty is subjective ni msemo tu. Au nikupe mfano hai, nani anasema Zari ni mbaya kwa muonekano???
 
mito
Mito nimeshajieleza kuwa niliwahi kuwa na mtu semfeel na niliishia kumuumiza sasa kuliko niwe na maisha ambayo baadae inaweza kupelekea niche pike kwa huyo ninayemfeel. Nataka mume ninayemfeel ili nisiwaze mwingine awe ni yeye tu akikohoa natia timu!
 
Last edited by a moderator:
Nominomi

Kama hashuhuliki na wewe hakufai au au tishia kumuacha hafu usimtafute tena akipiga cm mjibu kifupi kwamuda wote nibora kama utajisikia ham mpe mwingine uone atajisikiaje akila kimya achana nae
 
Last edited by a moderator:
Kassid mtunzi
Asante kwa mchango wako nimeshatishia mara kibao ndio anashtuka na kuanza kukutafuta au labda asilimia kubwa wanaume mko hivyo? Kikazi yeye huwa busy sana. Ambacho sitaki ni kuwa kero kwake sasa kila wakati kiroho kinadunda kama sijamsikia
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom