Ulaji wa mafuta Toyota Premio

kalanga

Member
Feb 2, 2011
79
68
Wadau na wataalamu wa Magari naombeni ushauri gari yangu ninapowasha AC inatumia mafuta mengi sana.

Kwa mfano nisipowasha AC ninaweza tembea 12km/L mpaka 13km/l hapa mjini,Lakini nikiwasha AC naishia 8KM/L. Gari ni 1490CC Toyota Premio F.

Nilibadilisha Plug lakini bado.Gari bado ni mpya ndio kwanza imetea KM 43000.
 
Huo ulaji wa 8 km/L unafanana na BMW 323i yenye cc 2500 tena cylinder 6.

Hapo unatakiwa ufanye service. Kwa kuanza umebadirisha oil na ATF kisha, presha ya matairi, angalia air filter. Oxygen sensor, umebadirisha plugs lakini umecheki coils? Kapime fuel pressure pia inaweza, cheki MAP sensor, fuel pump, na mechanical issues zingine kama breki, wheel balance etc

Kwahiyo lazima ufanye OBD 2 diagnosis kwanza wengi wanafanya bure uzuri. All the best man.
 
Hii yako inakula vizuri sana.

Nina mjerumani Cc2000 anakula 5Km/L kwenda kazini na kurudi ni 18km.

Ili niende kazini kila siku na gari basi ni mafuta ya 20k
 
Mkuu sikuhizi sikuoni, ile chuma EDE umeiuza?
 
Hii yako inakula vizuri sana.

Nina mjerumani Cc2000 anakula 5Km/L kwenda kazini na kurudi ni 18km.

Ili niende kazini kila siku na gari basi ni mafuta ya 20k
Boss kwema
Shida nini hapa gari haiwaki inaleta hizi taa hata usipoweka funguo
Toyota ist 2nz
 
Attachments

  • 20240324_143516.jpg
    20240324_143516.jpg
    797.5 KB · Views: 11
Wadau na wataalamu wa Magari naombeni ushauri gari yangu ninapowasha AC inatumia mafuta mengi sana.

Kwa mfano nisipowasha AC ninaweza tembea 12km/L mpaka 13km/l hapa mjini,Lakini nikiwasha AC naishia 8KM/L. Gari ni 1490CC Toyota Premio F.

Nilibadilisha Plug lakini bado.Gari bado ni mpya ndio kwanza imetea KM 43000.
Gari umeagiza au umemvua Mtu?

Anyway hapo kuna kitu hakiko sawa Boss,nina Premio X ya 1.7L ile ya Engine ya 2ZR highway napata 17km per L na Town trip napata 14km per L hadi 13 na niliipokea ikiwa na 72km.​
 
Hii niliagiza mkuu,niliipata ikiwa na 20000km
 
Mimi gari yangu imeandika " check engine" nimefungua bonnet nimekuta engine ipo. Kurudi kuwasha Tena, bado inasema check engine
 
Back
Top Bottom