Nilimesema hivyo kwasababu hujawa specific, when u speak of network, neno hili lina maana nyingi, kukujibu inamaana nifanye assumptions kwamba unamaanisha kusiwe na mawasiliano kabisa ya aina yoyote, si simu radio wala internet connection au au vifaa unavyotumia viblock mawasiliano ya nje. vile vile mtu akitumia vifaa vyako asipate connection ya network.
.kuna vifaa vya electronic vinauzwa vinaitwa jammers. hivi vinagenerate frequencies ambazo zinablock mawasiliano kufanyika, unaweza kuspecify iblock incoming connections au outgoing connection. sina uhakika kama vinapatikana hapa tz.