Kwa mwenye Uelewa na Teknolojia ninayoweza tumia hapaa...
lengo ni Baadhi ya Vitu vyangu visijulikane vipo wapi kabsaa...
na kiwe kama chumba cha xperiments zangu.....
.
.
Baadhi ya Vitu vyangu visijulikane vipo wapi kabsaa...
- Mkuu C++ panua wigo kidogo tupe japo mfano wa hivyo baadhi ya vitu ​ili kuweza kutoa mchango unaojitosheleza
- Maana hapa moja kwa moja Signal Jammer ndio inahusika