Nifanyaje ili chumba changu kisiwe na NETWORK KABISA......

snipa

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
4,189
1,612
Kwa mwenye Uelewa na Teknolojia ninayoweza tumia hapaa...
lengo ni Baadhi ya Vitu vyangu visijulikane vipo wapi kabsaa...
na kiwe kama chumba cha xperiments zangu.....
.
.
 
!
!
swali lako lina changamoto sana inabidi nigoogle kisha nirudi kukupa jibu.
Pia nina wasiwasi na dhamira yako kuwa kiwe chumba cha majaribio, nadhani shem akija huwa anakuwa busy sana na simu kwa hiyo mgegedo unakuwa na muda mchache...teh teh teh
nitarudi lakini
 
simple saana!! Aplly layer ya uranium kama milimita 50 hivi!!
NOTE; use pure uranium
 
Kwa mwenye Uelewa na Teknolojia ninayoweza tumia hapaa...
lengo ni Baadhi ya Vitu vyangu visijulikane vipo wapi kabsaa...
na kiwe kama chumba cha xperiments zangu.....
.
.

Unataka GSM signal jammer au? Ujue hiyo utasababisha hata maeneo ya jirani yatakosa mtandao!
 
jammer.jpg
 
Nilimesema hivyo kwasababu hujawa specific, when u speak of network, neno hili lina maana nyingi, kukujibu inamaana nifanye assumptions kwamba unamaanisha kusiwe na mawasiliano kabisa ya aina yoyote, si simu radio wala internet connection au au vifaa unavyotumia viblock mawasiliano ya nje. vile vile mtu akitumia vifaa vyako asipate connection ya network.
.kuna vifaa vya electronic vinauzwa vinaitwa jammers. hivi vinagenerate frequencies ambazo zinablock mawasiliano kufanyika, unaweza kuspecify iblock incoming connections au outgoing connection. sina uhakika kama vinapatikana hapa tz.
 
Baadhi ya Vitu vyangu visijulikane vipo wapi kabsaa...
  • Mkuu C++ panua wigo kidogo tupe japo mfano wa hivyo baadhi ya vitu ​ili kuweza kutoa mchango unaojitosheleza
  • Maana hapa moja kwa moja Signal Jammer ndio inahusika
 
Last edited by a moderator:
  • Mkuu C++ panua wigo kidogo tupe japo mfano wa hivyo baadhi ya vitu ​ili kuweza kutoa mchango unaojitosheleza
  • Maana hapa moja kwa moja Signal Jammer ndio inahusika

.
Aaaaaaaaaaaah mkuu sizani kama kuna haja sana ya kuvijua hivyo vitu...
ila cha muhimu ni NO NETWORK SERVICE
.
nime ishi kwa kufanya uharifu wa mitandao muda mrefu sana.................
.
naona spying zinakuwa kwa kasi sana
 
Last edited by a moderator:
kama unataka kudesign kifaa chako mwenyewe, jarb kuchunguza frequency za network, then design kifaa kitakachokuwa na uwezo wa kuintroduce noise (disturbing wave) zenye frequence na amplitude kama ile uliyodetect. ila hiyo noise iwe out of phase by nyuz 180. fanya hivo kwa kila signal utakayodetect..
 
Sasa ndugu wewe ukikosa network itakuwaje? kwahiyo utakuwa huingii hata jf? Kama ni hivyo basi usitumie simu yeyote wala computer wala TV
 
Sasa ndugu wewe ukikosa network itakuwaje? kwahiyo utakuwa huingii hata jf? Kama ni hivyo basi usitumie simu yeyote wala computer wala TV

.
hahaa umenifurahsha sanaa..
ndo mana nataka iwe special kwa chumba fulan tuu...
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom