We nae umezidi ujuaji.Mbona wengine tulistuka zamani ni ID mbili klakini mtu mmoja tu.
Ni vyema mapenzi feki umeuwa ki feki feki.
Kwa hiyo mahusiano mapya hutayatangaza?na kutokana na hilo pengine huenda yakawa ndio mahusiano yangu ya mwisho kuyaweka wazi.
Ni wakati wa kutulia sasa, usiingie kwenye mahusiano mapya haraka haraka, mapenzi ya kweli hayahitaji haraka, nakuombea upate mtu mwingine aliye bora ambaye mtafunga pingu za maisha na kutengeneza kizazi kijacho.View attachment 2858656
Mapenzi kama yalivyo mambo mengine yana mwanzo na mwisho pia. Ni wachache waliobarikiwa na wenye bahati katika mapenzi huishia pamoja kwa kudumu milele hadi kifo kuwatenganisha, Huku wengi wakiishia njiani na hakuna ubaya katika hilo. Ndio maisha na mapenzi…. Ni safari isiyotabirika.
Miaka kadhaa iliyopita nilipata kuingia katika mapenzi yaliyofahamika na wengi hapa jamvini.
Hivyo basi, kwa kuwa mapenzi yale hayapo tena, imeniwia vyema kurudi tena hapa kuweka hilo wazi.
Tulikuwa na malengo ya kufika mbali, lakini kutokana na kutofautiana katika mambo mengi tulishindwa hata kufikia hatua za kuyarasimisha mahusiano yetu kuwa halali.
Tulitengana rasmi mwezi August mwaka huu 2023, na kutokana na hilo pengine huenda yakawa ndio mahusiano yangu ya mwisho kuyaweka wazi.
Mapenzi ya wazi hapa yamenipa wakati mgumu kujibu mamia ya wanachama waliokuwa wakihoji endapo bado tupo pamoja, na ndio sababu kuu naweka uzi huu kuwafahamisha wote kwa pamoja, hatupo tena katika mahusiano.
Tumeachana kwa amani, na kwa dhati kabisa namtakia kheri katika maisha mapya bila ya uwepo wangu kwa aliyekuwa mwenzangu.
Nifah
Ndio huyu mmbea mwenzio uliokua unanambia kwenye ule mjadala.View attachment 2858656

We FaizaFoxy weweee..!!!Mbona wengine tulistuka zamani ni ID mbili klakini mtu mmoja tu.
Ni vyema mapenzi feki umeuwa ki feki feki.
Ni wakati wa kutulia sasa, usiingie kwenye mahusiano mapya haraka haraka, mapenzi ya kweli hayahitaji haraka, nakuombea upate mtu mwingine aliye bora ambaye mtafunga pingu za maisha na kutengeneza kizazi kijacho.