Nidanganye

mmmh, leo kuna tindikali itamwagika hapa.

Pole bro, ngoja nikupikie mchembe na uji wa ulezi
 
Ukweli unauma! Ila bora uambiwe ukweli uumie then utasahau tu kuliko kudanganywa huku miaka inakatika.
 
Mi kauongo nakapenda penda kidogo ila kasizidi sana... Nidanganye kiasi ili Mapenzi yawe muruuaaa...
 
Back
Top Bottom