Northern Lights
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 383
- 347
Kila mwaka utapata TZS 13.5M ( Mara nyingi hulipwa semi annually)Sorry naomba kuuliza. Yani hiyo hati fungani ndani ya miaka 15 inakuwa imekupa faida ya asilimia 13.5 ya hiyo million 100 au?
Dadhani your analysis is misleadingKila mwaka utapata TZS 13.5M ( Mara nyingi hulipwa semi annually)
Kwahiyo ikikaa miaka yote 15 utakuwa umelipwa Milioni 203 ( Assuming hauta pata matatizo hapo katikati ukauza bonds zako - they are listed DSE pale
So mleta mada its not a bad deal - go for it
Its a good saving or investment depending on your needs
View attachment 1760483
View attachment 1760482
you need consultation:
100,000,000 x 13.5% = 13,500,000 per annual X 6 = 81,000,000/= . Kila mwaka utalipwa 13,500,000 kama riba.
sina hakika mkopo wa 100m/= at 5.6% unapata kwa baba au mjomba, kwa sababu kwa Bongo hakuna taasisi ina rate ya hivyo.
Assume loan repayment is fixed amount p.a (principal plus interest) Jumla ya marejesho yatakuwa 133,600,000/= after 6 years; na kila mwaka utatakiwa kurejesha 22,266,667/=
How will you supplement the balance? nikiwa na maana kwamba unapata riba 13,500,000/= na unatakiwa kulipa 22,266,667/=
You are correct - nime ignore so many factors including including loan repaymentnadhani your analysis is misleading
Wazo zuri, lakini ukitaka kupata ukweli, basi piga hesabu za kina.
Faida ni asilimia 13.5 kwa mwakaSorry naomba kuuliza. Yani hiyo hati fungani ndani ya miaka 15 inakuwa imekupa faida ya asilimia 13.5 ya hiyo million 100 au?
Asante mkuu, hii table umetengeneza mwenyewe? Unaweza kunipa maelezo kidogo kuhusu rowsKila mwaka utapata TZS 13.5M ( Mara nyingi hulipwa semi annually)
Kwahiyo ikikaa miaka yote 15 utakuwa umelipwa Milioni 203 ( Assuming hauta pata matatizo hapo katikati ukauza bonds zako - they are listed DSE pale
So mleta mada its not a bad deal - go for it
Its a good saving or investment depending on your needs
View attachment 1760483
View attachment 1760482
Ni kwa mwaka mkuu, sio taasisi ya bongo lakiniThe deal seems too good to be true.
Jaribu kufuatlia ni kweli hiyo 5 .6% interest ni kwa mwezi au mwaka!!?
Labda nichague option ya kuongeza muda wa kufanya repayment, iwe 7 au 8You are correct - nime ignore so many factors including including loan repayment
Hata kama mkopo utakuwa calculated on the remaining balance of the loan (reducing balance ) still utatakiwa kulipa 19.6 Million kwa mwaka while you earn 13.5 Million yearly
So for the next six years atalazimika kutafuta other means za kuservice mkopo mpaka aumalize and then baada ya hapo ndo utaweza kuona faid
1. Ni kweli mkuu, I need consultationyou need consultation:
100,000,000 x 13.5% = 13,500,000 per annual X 6 = 81,000,000/= . Kila mwaka utalipwa 13,500,000 kama riba.
sina hakika mkopo wa 100m/= at 5.6% unapata kwa baba au mjomba, kwa sababu kwa Bongo hakuna taasisi ina rate ya hivyo.
Assume loan repayment is fixed amount p.a (principal plus interest) Jumla ya marejesho yatakuwa 133,600,000/= after 6 years; na kila mwaka utatakiwa kurejesha 22,266,667/=
How will you supplement the balance? nikiwa na maana kwamba unapata riba 13,500,000/= na unatakiwa kulipa 22,266,667/=
Either way you will need to find other means za ku service mkopo for the next six or seven years1. Ni kweli mkuu, I need consultation
2. Taasisi si ya bongo mkuu
3. Repayment method nina option ya kuchagua kati ya fixed amount au reducing balance
4. Nina option ya kuongeza muda wa mkopo au ni supplement kwa mshahara
Kama ni hivyo hiyo ni bahati kubwa sana.Ni kwa mwaka mkuu, sio taasisi ya bongo lakini
Sitakuwa na mpango wa kuziuza. Nimeona ni opportunity nzuri walau ya kuwekeza kidogo badala ya kusave mwenyeweEither way you will need to find other means za ku service mkopo for the next six or seven years
Ukibaki na your bonds to maturity i.e 15 years utapata faida
Ukiziuza in the next six to seven years utapata hasara kwasababu loan repayments zita exceed gain utakazokuwa unapata